Magari yanauzwa

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Gari aina ya Suzuki Carry zinauzwa, zipo pieces 10, zimeingia nchini kutokea Japan, zimelipiwa kila kitu mpaka registration, kuweka specification ya zote kwa mtindo wa moja moja ni ngumu Ila kwa ujumla ni km ifuatavyo :Zina 950Cc, zinatumia petrol, ni manual transmission, zimetembea kati ya 10,000Km mpaka 72,000Km

Zinauzwa 8.5m (8,500,000) kila moja, maongezi yanakaribishwa!

Kwa maelezo zaidi Mpiga 0715 555512 au 0787 111123
 
950 cc hizo ni pikipiki (bodaboda) au magari?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom