Magari ya Wazenj ni full tinted.

Dan84

Member
Apr 3, 2012
49
24
Kwa wale tuliobahatika kuishi na kufanya kazi Zanzibar tumeona mengi. Kwa desturi wazanzibari gari zao ni full tinted, yanayofanyika na wale wanaobebwa humo ni siri ya wenye hayo magari, wadau karibuni, kila aliyeona aseme analolijua.
 
nimeishi Zanzibar. Kinachofanya magari mengi kuwa full tinted ni mambo yafuatayo:
1. Gharama za hoteli Zanzibar ni kubwa. Utakuwa mahali pa bei chee sh. 50,000/= kwa hiyo mechi za chapchapu zinaishia kwenye magari. Gesti zipo chache mno.

2. Kutokana na mavazi ya dada zetu yanayofata misingi ya dini kuingia gesti ni kasheshe. Madada wa kule wanaona ni kinyume cha maadili kuingia gesti wakiwa na hijabu na baibui. Hivyo ni rahisi sana kuwarukia ndani ya gari kuliko kuwashawishi kuingia gest.

Hayo mawili ndiyo niliyofanikiwa kuyafahamu nilipotaka kujua chanzo cha magari ya mjini Zanzibar kuwa full tinted. Unachezea utamu wewe!
 
Technlogy Vs Religion......
 
Back
Top Bottom