Magari ya mnispaa yanapogharimu milioni 690!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Jamani hii inanishangaza kidogo hivi ni kweli gari moja la kuzolea takataka laweza kugharimu milioni 115? JFW moja! Nimeona leo kwenye taarifa ya habari ya channel 10. Labda haya ni aina mpya eti!
 
wewe unaweza kuyapata kwa bei gani? weka data then tujue kuwa wameiba tena!
 
Ni aina gani? ni ya mwaka gani? bila shaka ni mapya maana sheria za manunuzi serikalini haziruhusu mitumba! sifikirii kama ni bei ya ajabu ukizingatia udhaifu wa Shilingi yetu! labda kama una takwimu za kutosha na isiwe hisia! unaweza pia search katika websites zinazouza magari ukishajua brand.
 
Back
Top Bottom