Magari ya Kuongwa na foleni Dar!

Hii thread ni mfu kwa sababu inaongelea mambo yasiyo na tija kwa sababu suala la foleni dar ni ufinyu na uchache wa barabara na haihusiani na magari ya kuhongwa. Ukimwi ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine tena ukimwi siyo hatari kama malaria.
 
Kwani yule Mzee wa B O T keshatoka lupango? couse yeye ni ndio
kinara wa iyo michezo OLE WA MY WIFE siku naye arudi na Vitz
OOHHH NIMEKOPA SACCOS ntmmaliza
 
na wee umeongwa mbna mkali
 
Kwani yule Mzee wa B O T keshatoka lupango? couse yeye ni ndio
kinara wa iyo michezo OLE WA MY WIFE siku naye arudi na Vitz
OOHHH NIMEKOPA SACCOS ntmmaliza
Yule wa BoT yeye anaonga za rangi nyekundu, angalia mkeo anatumia ya rangi gani.
 
Kama 40% ni yanapatikana kwa staili hiyo, je yale ya wadada wanaofanya bishara Dubai ya kama mashati kumi tu kwa trip moja na ku-fly Emirates yatakuwa asilimia ngapi?
 
hahaaaaa kumbe ndo maana foleni kubwa dar..basi watakuwa watamu sana mpaka wanahongwa magari
...Mkuu hakuna kitu akili zao tu ndio zinawapa kiwewe mbona utamu wanao wenyewe..Kwa nini wengine wanapiga punyeto?!!....
 
This is a vicious circle. Hao Madirector hizo pesa za kuhonga magari ndizo hizo hizo zilitakiwa kutengeneza fly-overs, kujenga feeder roads mpya na na kuzifanyia ukarabati wa mara kwa mara zilizopo n.k Tazama barabara ya mpya ya Kilwa road viraka vinaulizana "wewe ukekuja lini". But the best thing ya watanzania is to create jokes on matters of great concern kama tunavyofanya sasa. Tunajadili tu lakini haatupendekeza hatua za kuchukua.
 
hivi kila mwenye gari amehongwa?suala la foleni dar tatizo si wingi wa magari bali wanamipangomiji wetu ambao walidhani dsm itabaki vile vile ilivyokua miaka ya 1970. Kama barabara mbadala zitaboreshwa hautajazana nyerere, ah mwinyi, kawawa na mandela road. Vile vile barabara hizi zikiboreshwa ikiwa ni pamoja na flyover tatizo litakwisha kabisa. Wewe unaesema magari yaongezwe kodi sikubaliani na wewe kabisa unaleta mambo ya zamani gari hadi upewe mafao?wacha tutanue na vista,rav 4 na gx100 zetu za mtumba wewe endelea kupanda dalalada na u conservative wako.
 
Back
Top Bottom