Magari sokoni haya hapa - Piga -0719539431

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
DSC00139.JPG

Tsh 8Mill (negotiable
Not registered

DSC00141.JPG

Tsh10.5 million (maelewano yapo)
Millage-66325Km

DSC00150.JPG

Tsh 8.5 million (maelewano yapo)
Millage-89,000Km


DSC00154.JPG

Tsh12.5 million (maelewano yapo)
Millage-91,215Km

DSC00160.JPG

Tsh 8million(maelwano yapo)
millage-98,250km

DSC00166.JPG

Tsh 33 Million (maelewano yapo)
Millage-154,000Km


DSC00095.JPG

bei 8 million(maelewano yapo)

DSC00108.JPG

(D4) bei 6 Million

DSC00127.JPG

millage-89,000Km
bei-11 Million(Maelewano Yapo)

DSC00129.JPG

millage-88,000 Km
bei-10.5 Million(Maelewano yapo)

DSC00132.JPG

millage-90,000KM
bei-11 Million(Maelewano yapo)

magari haya yako sokoni kwa maelezo kuona au kununua piga
0719539431




,
 
ofa! ofa! ya pasaka
swift imepungua bei atakae toa 7.5M nauza gari pia angalia blog yetu Magari uone magar zadi
 
ofa! ofa! ya pasaka
Suzuki swift hapo kwenye pcha imepungua bei atakae toa 7.5M nauza gari pia angalia blog yetu Magari uone magar zadi
 
Mbona kweli blog sioni magari zaidi kaka naona haya haya tu.

mwanagu sio kwamba hakna mengine yapo sema kila nkiuza nazitoa .kuna noah hapo kuna carina nshauza ntatoa badae kuna premio hapo.unaeza kuta magari leo afu badae usikute .yakisha nuliwa natoa .kwani we unataka gari gani nktaftie
 
Hii swift ishaenda Kilometa ngap na ina Reg. namba gan?

Mwanangu ime tembea kama 90,000 reg ni bjx au bjk ntauangalizia vizuri afu ntaweka hapa .nlitoa details zake kwa sababu kuna mtu allifika bei siku ya mwsho akapata gar nyingine hvyo badae ntaweka. Kwenye ofa maelewano yapo pia
 
Mkubwa gari zako zimelipiwa kila kitu yaani ukiinunua unaiingiza mtaani moja kwa moja?Hiyo GX100 ni ya CC ngapi?vipi mil 6 inalipa?
 
Mkubwa gari zako zimelipiwa kila kitu yaani ukiinunua unaiingiza mtaani moja kwa moja?Hiyo GX100 ni ya CC ngapi?vipi mil 6 inalipa?
mkubwa magari mengi yanakuwa ya sha lipiwa chache ndio unaweza kuziwa labda road licence au insurance imeisha .ila kwa sawala la registration inakuwa tayari isha lipiwa M6 nkushauri kitu piga hizi namba 0719539431 mweleze gari unayo taka ni ipi kati ya hizo anaeza kubali mana huwa hatukai na magari sana

Details za Gx 100
cc-1998year-2001
Model-Gx100
fuel-Petrol
Reg-BNL
millage-98,250km
 
natafuta mercedes..class E nadhani itanifaa zaidi...anayeiuza tafadhali...

1. ajue hii ni ndoa ya kikristu..tuko wachache tunaojitolea kuoa walioachika

2. awe na uhakika gari ni nzima..awe tayari kwenda inspection kwa komputa..

3. ajue kuwa naweza agiza gari hii na ushuru wote kwa 5 miln..

4. awe tayari kupokea si zaidi ya 3 milion...itategemea na ubora...
regards..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom