Magari mapya ya chadema

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahah du hizi image ni hali halisi ya sasa cdm mupya cccm kwishney
wamebakia kutulazimisha kupga kura kwa njia za kimagumash
Unazungumzia haya....??


403890_442493699123523_1244853011_n.jpg

Ndiyo tunayo..ya zamani tumewapa CCM!!wahangaike nayo....kwani wanajigamba kuwa wao ni wakongwe na sisi tumewapa magari makongwe!!kama walivyo wakongwe!
 
Hapa inaonekana kuna chama cha matawi ya juu na basi lenye AC, vioo tinted (ili wasionekana wanavyoenjoy maisha ndani ya basi lao) na chama cha walalahoi waliojazana kibao kwenye nafasi ndogo na madirisha wazi ili angalau upepo uingie. Basi la matawi ya juu mlango wake umefungwa (kuumanisha wanaoingia humo ni watu maalum) basi la walalahoi mlangoni kuna kondakta anawaita walalahoi wanaohitaji huduma ya usafiri bila kujali ni kina nani.

Hiyo ndio tafsiri ya picha hii.
Ndivyo ulivyodanganywa? Umeshawahi hata kupewa lifti acha kupanda gari ya mwenyekiti wako wa gamba mkoa.
 
Back
Top Bottom