Maganga Matitu (Black Rocks)

KVM

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,852
931
Watu wengi hawajuii kuwa kule Liganga kuna sehemu inaitwa Maganga Matitu ambayo ni milima mieusi kwa vile ni ya chuma kinachodhaniwa kuwa ni kiasi cha tani milioni 98 million. Kwenye ripoti ya serikali ifuatayo:
REPORT OF THE PRESIDENTIAL MINING REVIEW COMMITTEE TO ADVISE THE GOVERNMENT ON OVERSIGHT OF THE MINING SECTOR1

VOLUME 2

April, 2008


The government has also ordered setting aside of an appropriate space for local investors to enter into partnership with NDC to produce sponge iron at Maganga Matitu using Katewaka coal


Kilichofuata baada ya hapo hakieleweki vizuri. Au ni mambo yale yale ya Kiwira yanataka kujirudia? Najua kuwa kampuni inaitwa MAGANGA Matitu Resources (MMR) inaendelea na kazi sehemu ile. Ilipataje mradi huu?

Anayejua vizuri swala hili, hasa kwa nini walipewa wao na si mwingine yeyote yote anijuze.






 

Similar Discussions

Back
Top Bottom