Magamba ya mti wa mwembe ni kinga ya malaria?

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,587
4,323
Nimepata kusikia kuwa magamba ya mti wa mwembe ni kinga dhidi ya magonjwa kama malaria n.k.
Maelezo niliyopata ni kuwa ukichemsha magamba ukanywa maji yake au ukisaga magamba makavu ukanywa maji yalichanganywa na unga uliotokana na magamba hutaumwa malaria kabisa utaimarisha kinga yako.
Ila sijapata udhibitisho wa kisayansi, kama kuna yoyote hapa aliyepata kuona udhibitisho wa kisayansi anisaidie.
Lakini miti na mimea ina dawa nyingi sana za asili.
Mfano nilisoma makala mojawapo ya wataalamu wa marekani inasema soup therapy.
Ukinywa supu yenye mchanganyiko wa mimea kadhaa inasaidia kuongeza kinga ya mwili, kupunguza uzito na kuondoa sumu mwilini
soma hiyo attachment chini:
 

Attachments

  • soup therapy.doc
    173 KB · Views: 301
maganda ni kweli, ila ikichuma majani ya mwembe, majani ya mpera na majani ya mndimu, pia ni dawa ya homa ya maralia sugu, jaribu na utaniambia
 
Inaelekea mimea mingi hutoa tiba ya asili na hata haya madawa ya madukani source yako ni hiyo mizizi na matawi ya miti.
 
Malaria Haikubaliki!
Dr Ndodi anapokuja kivyengine!..huh!

Malaria Dawa yake upate Ndimu 30 uzikamuwe uweke kwenye chupa usitie chumvi wala Maji ukisha zikamuwa hizo ndimu 30 zitatoka chupa Moja kisha Uweke juani kwa muda wa siku tatu kisha unywe kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu mpaka umalize hiyo chupa. Unapokunywa hiyo Dawa hakikisha usile kitu kabla ya kula Dawa na baada ya kula dawa ukae saa moja kisha ndio ule chakula kisha nenda kapime vijidudu kwa Doctor utakuta hakuna tena Malaria. Jaribu utaona majibu yake mazuri.
 
Back
Top Bottom