Magamba wanamfukuza Mwenyekiti Halmashauri ya Geita now

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Habari za sasa hivi ni kwamba Chama cha Magamba (CCM) wameshajipanga kumfukuza mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita. kandoro kisha tia timu mjini geita tayari kwa kusimamia zoezi hilo.

Nitaaeleza kinachojiri kadiri muda unavyokwenda.

Acha hawa watu wavurugane, ni matokeo ya rushwa na hongo ndio tunayoyaona sasa.

let us be patient and wait to see. tafadhali tujuze yatakayojiri zaidi maana kwa ccm hii ya siku zote looks like its difficult for them kuchukuliana hatua za namna hiyo. labda ithibitike sana kuwa "si mwenzao"

Wapiganapo panzi ni fraha kwa kunguru

Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.

Wameshindwa kumgoa baada ya kuonekana hawajampelekea tuhuma zake siku 7 kabla ya impeachment ili ajitetee kwa mujibu wa kanuni,hii ni vita ya ulaji mkurugenzi,dc dhidi ya m/kiti,magamba wa geita wanafikiri kimasaburi zaidi.

Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.

Busara zichukue nafasi yake!! Isije ikawa wamemuwekea mbinu chafu kumtimua ili waendelee kunufaika kwa maslahi yao binafsi!!!! Lets watch!!

Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.
Kama ni hivyo wanafukuza mtetezi wa wanyonge wanaingiza JAMBAZI + FISADI.

Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.
Ni kweli nakumbuka ndiye aliyeitisha maandamano ya wananchi kuipinga GGM, unajua ukiona CCM wanaungana kumtoa jua kawabana sehemu hawajui vitendo hivyo vya kuwachukia wanaojitolea ndivyo vinazidisha chuki kwa CCM..

Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.

Kweli CCM hawataki watu wasafi, naona sio sera ya chama chao. Mi nlisha sema kuwa alama ya jembe na nyundo kwenye bendera yao siku hizi ina tafsiri mpya. Nyundo ni kwa ajili ya kuwapiga kichwani wale wote wanaotetea maslah ya wanyonge na jembe ni kwa ajili ya kuwachimbia kaburi na kuwazika bila kujali kama wako hai au wamekufa.

Mkuu Bujibuji hapo umesema, hawa wana maghamba siku hizi ni kanyaga twende. CDM kaza buti wanaendelea kujimaliza kiaina, wao pia tuwachimbie kaburi tuwazike!!!!!!!!!!!

let us be patient and wait to see. tafadhali tujuze yatakayojiri zaidi maana kwa ccm hii ya siku zote looks like its difficult for them kuchukuliana hatua za namna hiyo. labda ithibitike sana kuwa "si mwenzao"
Hao wadogo wadogo wanaweza kujitutumua kuwatimua kwani hawa uswahiba na mwenyekiti wa magamba. Kiboko yao ni mapacha wawili, hapo kigugumizi na kwikwi huwa zinawapata ghafla!

Back
Top Bottom