MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
Cameroon amekuharibu sana!kilaza mwenyewe:wink:
Cameroon amekuharibu sana!kilaza mwenyewe:wink:
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.stop complaining about ur country you fo********........... Just do your part well:tape2:
Hii ndiyo inaitwa data corruption BWANA unatajiwa wingi wa vitu si UBORA!.. Wimbo ni IDADI, IDADI, IDADI!.. Utaambiwa shule zetu zimefaulisha wanafunzi kwa aslimia mia moja (yaani wote wanafaulu) huambiwi one ngapi, two ngapi? three ngapi? four ngapi?. Ukichunguza utashangaa kuona 90% division four na the rest 10% . Hata four za D mbili zinahesabiwa kuwa ni ushindi mkubwa.Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?Idadi ya vituo vya afya? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu?
Sasa kazi kuu ya serikali ni nini?. Kodi inayokusanywa ni kwa ajili ya nini?Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.
Hii ndiyo inaitwa data corruption BWANA unatajiwa wingi wa vitu si UBORA!.. Wimbo ni IDADI, IDADI, IDADI!.. Utaambiwa shule zetu zimefaulisha wanafunzi kwa aslimia mia moja (yaani wote wanafaulu) huambiwi one ngapi, two ngapi? three ngapi? four ngapi?. Ukichunguza utashangaa kuona 90% division four na the rest 10% . Hata four za D mbili zinahesabiwa kuwa ni ushindi mkubwa.
Unaweza kuropoka unavyoweza kwa kuwa unaishi maisha bora yanayotokana na mfumo uliopo, ambao unawanufaisha wachache na kuwaumiza wengi.. Na yamkini wewe ni mmoja wa wanufaika... Ni lazima utatetea kwa kuwa unakula, unashiba na kutapika, wala hupati tabu kufikiri kuwa kuna watu wanakula mlo mmoja Hali imekuwa mbaya sana hata kwa sisi wajasiriamali biashara haziendi, wakulima ambao ni wateja wetu wakubwa huku vijijini wapo hoi! Mazao yao wanakopwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani na hawalipwi mpaka waandamane... Pamoja na kwamba mnalinda maslahi yenu yanayolindwa na mfumo huu, jitahidini kuwa objective muone ukweli usoni!shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
Sasa kazi kuu ya serikali ni nini?. Kodi inayokusanywa ni kwa ajili ya nini?
huyo bwana anasema "do your part well" lakini kama nchi inafilisiwa na wenye dhamana ya kuiongoza mchango wa mtu binafsi utasaidia nini?
Achana nae mpuuzi, he/she is out of touch, yaani majibu mepesi kwa maswali mazito, eti mlimani city, watanzania wangapi wanaenda mlimani city hata kuangalia tu, sembuse kununua soda? Hiyo serikali yake yenyewe imekubali kuwa shule za kata ni tatizo!watanzania hawakuahidiwa ujenzi wa kigamboni wa miaka 20........waliahidiwa maisha bora
na hizo shule za kata unajua matatizo yake??????? Hakuna maabara,waalimu hakuna sayansi, watoto wanasoma kwa nguvu zao za kwenda tuition za mitaani
Kikwete hakuhid watu kuwafundisha kutumia cm
THINK BIG......... Waulize wanafauluje si kusubiri matokeo ya NECTA....ni NGUVU ZAO WENYEWE.... Tuition zimejaaa dar wewe unakuj kukurupuka JF
Yaani uliwaza kama mimi, ninakutana na watu wa jinsi hii sana huku mtaani. Ni sawa na kujaza maji kwa kuendelea kwenye pipa huku likiwa linavuja. Hivi watu wana akili!!!!
Mkuu unaakili sana na nimependa jinsi ulivyojenga hoja yako hapa.
Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.
Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?
Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.
Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.
Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.
Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.
Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?
Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?
Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.
Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.
usipende kuwa mvivu wa kufikiria na kuja na maneno mengi yasiyo na maana. Napenda tu kukuuliza hivi ungekuwa wewe unaona nchi zingine hazina raslimali lakini zimendelea/zinaendelea kwa kasi lakini sisi kabla ya kuendelea ndio tunategeneza tabaka kati walionacho na wasionacho. tusipende kuwa washabiki bali tujiangalieni tuko wapi na kwa sababu ya nani. CCM ilikuwa na misingi mizuri sana lakini kutokana na viongozi wake kukosa utu ndio maana tunaona hatunabudi kubadili mwelekeo. Hata kama cha chochote cha upizani kama kitakosa direction tutaaachana nacho lengo ni kutufikisha pazuri wala sio kututumia ili kundi la wachache wafaidike.
Mkuu unaakili sana na nimependa jinsi ulivyojenga hoja yako hapa.
Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.
Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?
Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.
Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.
Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.
Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.
Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?
Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?
Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.
Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.
Nafikiri wakati umefika sasa kwa CCM kuungana na CUF ili kizaliwe chama kipya. I have tired to hear CCM kila wakati.
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
kilaza mwenyewe:wink: