Magamba walipotufikisha. Soma picha hii na utafsiri sahihi

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
kikwekwe.jpg five years after kikwekwe's regime
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
 
matatizo ya kulelewa na mchuzi wa nyama, huku nyama akila baba!
pole ndugu yangu!
 
Vyovyote utakavyosema ukweli utabakia kuwa ukweli,viongozi wamejijengea utawala usio na tija nakujirundikia mali na fedha isivyo halali. Watanzania walishtakia kwa Mungu na sasa majibu yanaanza kuonekana "Mungu atakaposema NO hakuna wa kusema YES"
 
uyo spika nilikuwa namheshimu lakini tangu aharibu hali ya hewa hapa juzi kulumbana na chadema, nimemdharau ajabu na nimegundua kuna mengi juu yake tulikuwa hatuyajui na amejianika mwenyewe, au amesababisha aanikwe
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:

Mkuu unaakili sana na nimependa jinsi ulivyojenga hoja yako hapa.

Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.

Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?

Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.

Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.

Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.

Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.

Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?

Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?

Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.

Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:

Kwako wewe maisha ni mlimani city na mabasi yaendayo kasi kwa sababu unazo,vipi kule namtumbo,malolo,na kwingineko?
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
Post yako ya kwanza tuu unaonyesha ulivyo na uwezo mdogo wa kuelewa,pole sana.
Nenda kawaulize watoto wa Wasira wameona nini hadi akili zao zikafunguka? labda hilo linaweza kukutoa usingizini
 
Wao magamba watasema nini? Kwa sababu kwa upeo wao ndipo wamefikia na hawawezi kufanya zaidi ya hapo. Hivyo ni jukumu letu watanzania kuungana na kuleta mabadiliko ya kweli.
Nakupongeza mleta mada jinsi ulivyowakilisha ukweli kwenye picha, nadhani hata vibaraka wataelewa!
Ila subiri humu jf kuna watu wanalipwa kuandika upuuzi, watakushambulia!
 
View attachment 66552 five years after kikwekwe's regime

Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.

Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?

Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.

Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.

Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.

Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.

Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?

Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?

Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.

Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.
 
KAMA MNGEKUWA MNAELEWA NCHI INATOKEA WAPI KWENDA WAPI NA STATISTICS WALA USINGELETA MADA HIYO,lete takwmu za idadi ya shule za msingi,sekondari,clinik,vyuo vikuu,pato la taifa,DO YOUR HOMEWORK THEN COME BACK USEME KKWETE HAFAI.kwa hiyo mambo unayoyasoma kwenye magazeti wenzako hao ndio kazi zao hata angie nani lazima aandikwe vibaya, hope wewe s muandishi wa habari?:A S 39:
 
nikiskia ccm nakosa hata matumain...imenifanya niichukie nch yangu!
 
Post yako ya kwanza tuu unaonyesha ulivyo na uwezo mdogo wa kuelewa,pole sana.
Nenda kawaulize watoto wa Wasira wameona nini hadi akili zao zikafunguka? labda hilo linaweza kukutoa usingizini

wewe ni bendera fuata upepo eeenhh?kaa chini tafakari acha kukurupuka ninyi ndo mnaolalamikia wazazi wenu mkfeli ktk maisha
 
Back
Top Bottom