Magamba nao wamo-MB Mwijage

Yes he's educated and the whole enchilada no question about it...I would have respcted him more if he would highlight @least 1 breakthrough initiative that he had brought as a result of all this tax payer's money that had been spent on his education....

Otherwise ni debe tupu tu!
 
Ushauri wa bure kwa mods!

Ni vema kutoa online seminar ya jinsi ya kuanzisha thread kama hzi, haiwezekani unaanzisha mada ambayo inakuwa inaelea hewani kwani ni wanajf wangapi unauhakikia wamefuatailia na wangapi hawajafuatilia wengi wakiwa nje ya nchi. Kma umejisikia kushirikisha watu ulichokiona ama kukisikia basi toa taarifa madhubuti na iliyokamilika. Mfano mpaka sasa nimeshindwa kujua jamaa amezungumza nini hasa mpaka wengine wanamkubali na wengine wanampinga? Mada inaweza kuwa nzuri lkn ikakosa wachangiaji kwa kuwa taarifa zake hazijitosherezi ipasavyo kwa mtu ambaye hajui kilichokuwa kinaendelea.
 
Nimegundua hapa Jf kuna watu empty in mind na easy kutongozeka yule jamaa kama umemsia vizuri anatafuta umarufu wa kutokea hana jipya tena si m2 makini wakutegemeka huwezi ongea upupu kama ule eti kwakuwa ni msomi ujinga mtupu.

Ndg inaonyesha una hasira au chuki binafsi na huyo mh. Matusi ya nini? wewe una nini mpaka utukane hivo.
Wapo waliomchagua na utakaa hivo hivo na chuki zako.
 
Jamaa anapresent facts za mafuta na mengineyo!ni mtaalamu wa mafuta for the last 20 years!Pia ni consultance anaweza fanya consultation bure
Anasema aliandaliwa na Sokoine kwenye sector ya mafuta

Kakutuma? Magamba hawezi kuwepo mtu mzuri. Mwangalie pinda kama unadhani nakutania. Mwijage anatafuta namna ya kuendeleza biashara zake ka Rostam.

Alafu anakashfa ya kuazishwa wilaya mpya. Hafai kabisa kuwa mtu makini. kama angekuwa mtu makini angepitia CDM baada ya kufa kwa balozi ngaiza katika mazingira ya kutatanisha. Hafai.
 
Inasikitisha sana. Unajua badala ya kusema ameifanyia nini nchi kwa miaka ishirini yeye anasema alivyo na CV nzito! na zaidi ya yote sikumwelewa kabisa alipomhusisha Sokoine. Kifupi hana tofauti na Karamagi!
 
Back
Top Bottom