Magamba na maganda ya CCM

Kiona

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
933
240
Kama mafisadi watafuna fedha za serikali na kugawana raslimali za taifa kutoka Chama cha CCM wamebatizwa jina magamba. Na wakina nape ndo wanokimbiza mwenge huu wa kuvuana magamba na ili hali na wao ni maganda.

Magamba yakiisha bado tuna maganda ambayo bado ni uchafu ndani ya mazingira yetu ya kusimamia raslimali za Taifa. CCM ina maganda ya kila aina. Mfano Nape ni ganda la ndizi ukilikanyaga tu unaanguka. Wanyonge tutapita wapi na tutakimbilia wapi?

Watanzania wenzangu hebu tuungane tusafishe nchi yetu kutoa magamba na maganda yote ili mazingira ya serikali yetu yawe masafi.
 
Back
Top Bottom