Magamba hawana jipya.

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Ukijaribu kuangalia thread nyingi hapa jf ni wanamagamba kuitafutia chadema sababu tu ili ionekane imeanza kudhoofu mi nawaambia mtahangaika wee chadema inasonga mbele tuu.
 
Habari za kuaminika ni kwamba Nape amepandikiza kikosi kazi cha watu 50 hapa JF kwa ajili ya kuichafua CDM na anawalipa kwa idadi ya post wanazochangia kwa siku. Hawa vibaraka wa nape utawatambua kwa Joining date: (MAY -JUNE 2012) na wanajitahidi kuchangia kila post inayoinanga CDM
 
Back
Top Bottom