Mafyongo kama haya ya JKikwete wa Magamba,ndo yaliyo iweka pabaya Libya na Yemeni

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Wananchi wakichoka,wako radhi wauliwe mpaka wafe ilimradi haki ipatikane,CCM msitake nchi ifike huko,Mmesha tufilisi vya kutosha, hapo sasa basi,Mtoto akikua na kugundua kuwa kuna haki zake za msingi ulimnyima akiwa mdogo na wewe ndo chanzo cha yeye kupigika, anaweza hata akuue ili arithi mali.

Sasa CCM,hapo mlipofika basi,ebu tuacheni na sisi tujipange,tuendeleze gurudumu hili la maendeleo,mkiendelea kutuzingua,mnakaribisha Ulibya na Uyemen hapa,Kizazi hiki hakuna mtu muoga na mshukuru mungu mlifuta mpamgo wa JKT kwa mujibu wa sheria,ingeendelea kuwepo toka enzi za nyerere,kingesha nuka hapa.
 
Back
Top Bottom