Mafuta yaanza kutiririka ghana!

Ghana now Oil Producing Country
speaker_icon.gif
video_icon.gif

1_183207.jpg


Ghana has officially joined the comity of oil producing and exporting countries. President John Evans Atta Mills turned on the valves on the FPSO Kwame Nkrumah for production to start.

In a speech, President Atta-Mills said the event means the country is assuming a serious responsibility adding that those in leadership positions should ensure that the oil find is a blessing rather than a curse.

The Minister of Energy, Dr. Joe Oteng Adjei said for decades, there have been attempts by governments to exploit the country's petroleum and gas resources.

He showered praises on the Rawlings and the Kufuor administrations for their roles in the oil find.

The Deputy Minister of Energy in charge of Petroleum, Emmanuel Kofi Buah, describes 15th December, 2010 as a historic day of national unity as Ghana celebrates its initial oil production.

He told Radio Ghana that the presence of the two former Presidents, Jerry John Rawlings and John Agyekum Kufuor signifies blessing and unity.

The President of the Western Regional House of Chiefs, Nana Attibrukusu was however happy that the country has joined the ranks of oil producing countries.

He called for the benefit of the oil discovery to reflect in the lives of the people of the region.
 
Ni kweli Mkuu wako wanatafuta ila juzi wametoa taarifa kuwa kwenye kisima kimoja ambacho kinaitwa PWEZA 1 wamekutana na Gas. Hivyo tuwe wavumilivu tu ingawa kwa upande mwingine unaweza kusema afadhali hata yaspatikane tu maana hawa jamaa watatuibia tu!!!!! Na hivi hatujapata dawa ya kuwachakachua hivyo tutazidi kuwa maskini tu huku akina EL, RA, RK, AC n.k wataendelea kuneemeka tu!
Bora yasipatikane tu, kwani gas ya Songosongo wana miaka mingapi toka waanze kuzalisha kibiasha Tanzania kama nchi imepata faida gani mpaka hivi sasa jibu HAIJULIKANI ni viongozi na mafisadi ndio wanajua vi hivyo kwa madini ya dhahabu, almas, tazanite, lubi, uranium
 
Walahi yakipatikana bongo wataenda kuyasafisha kama mali ghafi nje ya nchi kiwanda chetu si kimeshakufa alafu watarudi kutuuzia kwa bei ya juu ,hamuoni tanzanite,alimasi ,dhahabu kinachotokea,kila mara na sema hapa bora wasivigundue sasa ngojeni hawa watu wafe,vitakua vyao tena si vyetu oooh
 
Back
Top Bottom