Mafuta ya ubuyu!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Ndugu kuna mtu anauza mafuta ya mbegu za ubuyu, kati ya Tsh 40,000 na 60,000. Swali je nini kimeyapa mafuta haya thamani kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi?
Pia naambiwa matumizi ni kuyala mabichi na si kupukia! Ni kweli yana medicinal values kama inavyodaiwa?
Au ni upepo tu kama wa ngetwa 3, ngoka 11 na babu wa samunge?
Msaada tafadhali!
 
Back
Top Bottom