Mafuta ya Petrol na Gharama za usafiri

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Tatizo la kukosekana kwa mafuta ya petrol linaonekana kuendelea kuwepo kila siku. Je tatizo lipo wapi? Ni ukosefu wa mafuta katika hifadhi y aTaifa au meli za mafuta bado kufika nchini?

Tatizo hili limekuwa kubwa baada ya serikali kupanga bei ya mafuta. Serikali inatakiwa itupe majibu ya kuridhisha kuliko kusema tatizo litamalizika baada ya siku kadhaa.
 
Watanzania tumezoea kufanya kazi kama zimamoto au kwa mazoea bila kujali mabadiliko yatokea kila siku yaani sisi ni wagumu kukubali mabadiliko.
Mimi sitashangaa nauli na bei za bidhaa zikiendelea kubaki vilevile bila kushuka.Wakati katika nchi nyingine kila kitu kinabadilika kutoka na hali ya wakati huo ilivyo.
 
Back
Top Bottom