Mafuta ya OILCOM yana maji muwemakini na magari yenu

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
kuna mdau aliwahi kuleta hii thread siku za nyuma japo hakupata mwitikio mzuri nafikiri si mbaya nikiirudisha hapa kama angalizo......hawa jamaa wanapaswa kuchunguzwa ni majizi ya wazi.
 
Halafu wametandaa kila sehemu, kwani wanaibaje? Ni afadhali waibe kwa kubana hizo pampu zao kuliko kuchanganya maji.
 
Hivi wanawezaje kuchanganya mafuta na maji? Ninavyofahamu mimi vitu hivi viwili huwa havichanganyiki
 
OILCOM wachawi wakubwa niliwahi kujaza mafuta pale oilcom ya Tabata Relini karibu ni knock engene ya gari nilikwenda polisi buguruni wakaniambia niende urafiki nilipokwenda urafiki tayari wa Buguruni walikuwa wamewatonya kwenye mapipa yao ya akiba tukakuta hakuna mafuta hata tone nikabaki na magaloni yamefuta niliyotoa kwenye gari langu,ni CCM imewaweka kuhujumu nchi na wananchi tangu miaka ya 1998 wameua magari ya watu mbalimbali na hata wananchi wakienda kulalamika Polisi wananishia kuzungushwa miezi,miaka hakuna kesi inapelekwa mahakamani wameikamata serikali kama wenyewe wanavyosema,maajabu ya ,ndiyo hivyo tena Shamba la Bibi watu unawaona walizaliwa vichochoroni sasa wamekuwa matajiri wakutupwa
 
mkuu habari yako imekaa kiumbea zaidi...ukisema ulinunua mafuta oilcom ipi,lini na matokeo yake yakawaje itakuwa vyema sana kuliko kusema juu juu hivyo.
nasema hivi kwani nimeshawahi weka mafuta kwenye filling station ya oilcom na sijaona tatizo.
 
Inategemea umefill aina gani ya gari kama ni Landrover 09 its ok lakini kwa gari kama Volkswagen Touareg huwezi tembea hata km tano kwa mafuta ya kuchakachuliwa, OIL COM na BIG BON ni wezi period.
 
Inategemea umefill aina gani ya gari kama ni Landrover 09 its ok lakini kwa gari kama Volkswagen Touareg huwezi tembea hata km tano kwa mafuta ya kuchakachuliwa, OIL COM na BIG BON ni wezi period.

Ndio maana kila siku nashauri watu wapimwe akili kabla ya kujiunga na JF.
anyways,nili fill bajaji na nakushauri utafute moja kwani inaonesha inaenda vizuri kwa mafuta yaliyochakachuliwa.
 
mkuu habari yako imekaa kiumbea zaidi...ukisema ulinunua mafuta oilcom ipi,lini na matokeo yake yakawaje itakuwa vyema sana kuliko kusema juu juu hivyo.
nasema hivi kwani nimeshawahi weka mafuta kwenye filling station ya oilcom na sijaona tatizo.

mkuu labda nitowe wazo langu juu ya hawa OILCOM,
kampuni kama oilcom sio wabaya lakini watendaji ndo wabovu kuliko.
katika sakata la vidumu hawa ndo walikuwa wa kwanza kuvikataa kabisa ukienda kununa mafuta wanakuambia kalete jenereta au gari lako(mimi ndo walivyoniambia)!!!

katika sheli ya kule tabata segerea wale ndo wachakachuaji kweli!
mfanyakazi mmoja alizulumiwa hela na muuza pikipiki baada ya kumjazia mafuta, na mimi nikawa nanunua akaniambia "jamaa kanizulumu kesho akija nitamjazia POVU MPAKA ASHANGAE"
ndo nikajiuliza kumbe vidumu vilikuwa vinawazingua!
 
Hayo mafuta yaliyochakachuliwa yaliwekwa kwenye magari ya rais mwaka jana, wala hilo lisikupe hofu. Hii ni Tanzania, lazima ujielewe.
 
Jamani sii maji sh 10 000 siku ni lita 4.mafuta bora BP na TOTAL pekee tatizo haya makampuni hayana mtandao mkubwa
 
PHP:
[HTML][B]Re: Mafuta ya oilcom yana maji muwemakini na magari yenu!! [/B]

    mkuu habari yako imekaa kiumbea zaidi...ukisema ulinunua mafuta oilcom ipi,lini na matokeo yake yakawaje itakuwa vyema sana kuliko kusema juu juu hivyo.
nasema hivi kwani nimeshawahi weka mafuta kwenye filling station ya oilcom na sijaona tatizo[/HTML][FONT=Century Gothic][SIZE=2]

huyu bila shaka alinunua mafuta ya taa, vinginevyo itakuwa katumwa na waarabu[/SIZE][/FONT][FONT=Century Gothic],hao jamaa ni [B]wezi [/B]na km unabisha nenda na kidumu kama utapata ushirikiano[/FONT]
 
Makampuni pekee yanayoangalia quality ya mafuta ni BP, Total na Engen
Wengine wote hata wakiletewa off-spec product wanapokea tu kwa sababu hawana standards
 
Askofu
Nakupa tano ila umesahau outlet wanazo run GAPCO,hawa wengine bila chuwa biashara haifanyiki!!!
 
Back
Top Bottom