Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

haya sasa yule aliyesema kuna watu wakitoka humu wanaenda jaribu knowledge waliyopata humu naanza kuiamini as nimeona watu wanaanza ulizia bei ....haya yangu mie macho wajimini mkumbuke sodoma na gomora yalitokea nini enzi hizoo
 
bidae tutajiwa na maswali kama yanapatikana wapiiii???!!!dah ama kweli dunia ya sasa ime depreciate vibaya mnoooooo

wakubwa eeeeeh.....! mtaalamu naye anauliza kijanja hivi.....! "yanapatikana wapi?"
 
wakubwa eeeeeh.....! mtaalamu naye anauliza kijanja hivi.....! "yanapatikana wapi?"

nimeweza jitahidi soma nyakati na kutabiri..ndio maana nikasema tutajiwa na maswali mengine kama hilo nililodokeza...kumbe bwana mahesabu weye kama ulivyouliza mwanzo bei yake naona nw wataka jua na yanapopatikana kwa mgongo wangu...!
mie nachokwambia tu shindwa na ulegee kijanaa humo hakukuwekwa kwa ajiili hiyo
 
ninawasoma wakuu ila ukienda pharmacy yeyote hasa kubwa yanapatikana haya mafuta ya kualinishia viungo (mitambo) vya uzazi
 
haya bwana mahesabu natumaini ushaanza kupigia mahesabu buku sita yako au sio??hala hala msigeuze tz yetu sodoma na gomora ufisadi unawatosha huko...
 
Nadhani labda mahesabu alikuwa anakanyaga tope bila ya hii vitu.... kama angalia tu usipate fangas ohooooo...

Inasemekana wanaotumia sana mlango wa maliwato huwa wanakua pia addicted na kujichua.... hebu tupe uzoefu mahesabu
 
haya bwana mahesabu natumaini ushaanza kupigia mahesabu buku sita yako au sio??hala hala msigeuze tz yetu sodoma na gomora ufisadi unawatosha huko...

MTAALAMU NAONA MWENZANGU UMEKUWA FASTA KATIKA HILI....!
 
msanii toka myuju... juma ataje bei rasmi...... mtaalamu haonekani humu......! kenda wapi kama si kuyatafuta na kuyatumia visivyo.....?
HIVI NA WEWE ULISEMA HUWA UNAYATUMIAJE?
 
loh nipo sana nilikua nakusubiria urudi na kuuliza unayatumiaje maana nilijua tu utauliza kijana baada ya kuyanunua!!unaona sasa readin mind za waovu its a very easy task kama hapo ulivyo uliza kijanja , "HIVI NA WEWE ULISEMA HUWA UNAYATUMIAJE? "
mwisho wa kunukuu!!
ushauri wangu ni mmoja tu...woote wapenda kupindua boneti za magari iwe automatic au manual wote kwenu ni sodoma na gomora tu!!
 
duh
balaa.... hivi ina maana ni dada zetu ndo wanaendekeza kutoa tgo au ni sisi ndo tunawashurutisha???
Nimesoma post zenu wadau na kugundua wanaume wengi wanaonekana kupenda kuwafanyia mademu kitendo hiki, je hii ni fair???
Napenda kupata comment kutoka kwa watendewa
 
duh
balaa.... hivi ina maana ni dada zetu ndo wanaendekeza kutoa tgo au ni sisi ndo tunawashurutisha???
Nimesoma post zenu wadau na kugundua wanaume wengi wanaonekana kupenda kuwafanyia mademu kitendo hiki, je hii ni fair???
Napenda kupata comment kutoka kwa watendewa

mhm ni very rare wezi kukubali wao wanaiba...kama tunavyoona kwa kesi ya zombe..sijui labda tungojee kusubiria hao wagawa line za tigo badala ya voda waje watubu na kuelezea experience yao!!!sijuiiii
 
sidhani kama ni moja ya matumizi yake kuzuia magojwa ya STD,ila nachojua kuwa inatumika kama vaginal lubrication hasa kwa wamawake ambayo huwa na upungufu wa ute kutokana na labda wajawekwa tayari kwa game,au katumika sana muda huo,au ana upungufu wa estrogen hormone(inaenda na umri) na mengineo.

Kwa kuwa ni lubricate mabazazi/wachimba choo hutumia pia ktk shughuli zao.
Basi inaweza kutumika ktk namna nyingi hata ukitaka kuweka muonganiko wa Std na msuguano ok ila nadhani kwa asilimia ndogo sana.
Muandishi umetumia neno ute .msichana huwa hatowi ute kinachomtoka msichana kinaitwa utoko na ute unakuwemo ndani ya mayai ukizunguka kiini cha yai
 
duh
balaa.... hivi ina maana ni dada zetu ndo wanaendekeza kutoa tgo au ni sisi ndo tunawashurutisha???
Nimesoma post zenu wadau na kugundua wanaume wengi wanaonekana kupenda kuwafanyia mademu kitendo hiki, je hii ni fair???
Napenda kupata comment kutoka kwa watendewa

Kwa hiyo tuendelee kusubiri akina dada wanaopukuswa mikia ili waelezee experience yao??? asilani hata mmoja hatojitokeza.... Hapa suala si kina dada tu bali pia hata midume mingi nayo hukamuliwa maziwa mgando kinyume nyume. Mtaalam na Mahesabu wanaonaongoza kwa kushabikia haya mafuta na experience yake.... wanaotenda haya madudu (malawito) wajitokeze tuwafanyie counseling kwani mtendewa akishanogewa hatoweza kusikia la muadhini wala padre, ila mtenda akielimishwa halafu akajizuia kutenda basi tatizo litaanza kupungua.....

Mie nimeeleza niyajuayo ila haya masuala ya UMENDE niliacha zamani
 
Kaka Msanii Lugha yako Nzito kidogo!!Jaribu kutumia lugha nyepesi Mkuu..ni watu wa jinsia na umri tofauti tunaingia huku...Ukali wa maneno yako inaweza kuwa ni dhalilisho kwa wengine.Mkuu tumia lugha soft kidogo...

Mwawado haya ni mambo ya kikubwa hata jukwaa lenyewe limeandikwa hivi: -

"Only Requested users can access this point. Send your request via PM to Invisible and you'll be granted access but AT YOUR OWN RISK!"

Nawe pia naamini kuwa uli-request kuingia huku, sasa hayo mambo ya Jinsia na umri yametoka wapi? ? ? ???

Waombe Mods wakuondoe 'kama bado huwezi kuvumilia hizi lugha za huku kwenya MAMBO YA KIKUBWA'
 
Back
Top Bottom