Mafuta ya IPTL yamenunuliwa wapi?

Sikonge,
Mkuu wangu hapa ni lazima tukubali Ujinga.. wametuweka sawa tukajaa wenyewe kwa shida ya siku chache maanake huo umeme wa mgao sidhani kama hata mwezi umeshafika..
Kumbuka mwaka 1994 kuingia 95 tulikuwa ktk hali mbaya zaidi kwa miezi sita..na tuliendelea hivyo hivyo karibu utawala wote wa Mkapa na hasa mwishoni.. mgao haikuwa hoja kabisa bali sehemu ya maisha yetu...Ajabu leo tumesha sahau!

Nitaweka hapa kipande cha habari toka U.S. Department of State, ofisi ya coordinator for Business Affairs, to prove my point.

For the past four years Tanzania has been experiencing a series of power
(electricity) shortages in its main gridlines. These shortages are a
result of the continuing effects of the regional drought of 1994/95. As
Tanzania remains 95% dependent on hydro-electric power, the 1994/94
drought seriously hampered the Tanzania Electric Supply Company's
(TANESCO) ability to generate enough power to meet the demands of the
economy. Starting in November 1994, Tanzania was forced to endure six
months of rationing, which meant that most Tanzanian factories,
businesses and homes were without power from 0600 hrs to 2000 hrs, seven
days a week. While the situation has improved over the last few months,
power rationing continues as a result of the nation's failure to
maintain the hydro-electric facilities that generate the majority of the
countries power.
In the medium term, an emergency program funded by the international
donor community to augment Tanzania's thermal power generation capacity
will come on line in late 1995. In addition, small hydroelectric power
generating increases are expected to come on line as well. Over the
long term, development of the Songo Songo Natural gas reserve and
Mchachuma coal fields will help alleviate Tanzania's dependence on
hydro-electric power generation.

Hadi leo bado sisi ni dependent wa Hydropower, kwa sababu gas hadi leo hii inachangia asilimia ndogo sana ktk hizo asilimia chache zilizopo.Yaani ni aibu tupu haitakiwi hata kuitaja..
 
Swali ni kwamba, serikali inafitakiwa ifikirie jinsi gani ya kutatu haya matatizo ya umeme kwa kuangalia solutions zote. Ninachoona kila siku hii serikali ya CCM inaendelea kurudia michezo ya kuwachezea wananchi. Matatizo ya umeme, huduma duni za afya, matatizo ya ajila, na matatizo ya elimu nchini. Swala la umeme linahitaji investments za aina tofauti. Serikali na viongozi wake inaonekana hawajui wanachofanya. Mawaziri na viongozi serikali wanaonekana wanaelimu lakini kweli sijaoni efforts za kutatua haya matatizo. Serikali na private institutions zinatakiwa kufanya kazi pamoja ili tuweke efforts kwenye banking/new investments. Hii ni solutions ya matatizo yetu nyumbani.
 
jamani mafuta yamechukuliwa mombasa na siyo arabui. Hiyo meli ilikuwa babdarini mombasa ikisubiri kupakuliwa na hilo deal lilipo tick basi ikaagizwa tu iondoke mombasa na kuja dsm.

Kama jina la meli linajulikana basi tunaweza track kupitia internet na kujua safari ya hayo mafuta.
 
CCM ina mbinu nyingi za kutafuta hela za uchaguzi mwkani. Na bado mtaona mengi
 
Procedure mzima ya clearing and forwarding inakataa kwa ili deal. Oil tanker inaelekea ilishakuja kitambo na kunyuti Mombasa au bahari kuu na kusubiri amri ya kuingia Dar port.

Wakisema wameagiza from Mombasa bado procedure zinakataa, order ilitoka lini, meli ilianza kupakia lini? na kutia timu Dar ndani ya siku 6? Inashusha Dar tani 8,800 kwa 30 hrs (source Dailynews Oct 26), walipakia kwa masaa mangapi?...hapa kuna tatizo. Normal cargo ship tena ya dharura inachukua 7-14 days from UAE to East Africa

May be watasema siku hizi meli zinapakia kabisa cargo na kusubiri customer? Thanks Nguvumali kwa kuliona ilo.
angalau sasa nami naanza kufunguka macho, maana nilikua naitizama hii skenda katika dhana ya kufikirika, asante mkuu kwa kuja na mtizamo wakitaaluma zaidi hasa katika sekta nzima ya usafirishaji, kuna kitu kipo nyuma ya sakata hili tangu kuzimika kwa mitambo ya Tanesco. tutaujua Ukweli
 
Sikonge,
Mkuu wangu hapa ni lazima tukubali Ujinga.. wametuweka sawa tukajaa wenyewe kwa shida ya siku chache maanake huo umeme wa mgao sidhani kama hata mwezi umeshafika..
Kumbuka mwaka 1994 kuingia 95 tulikuwa ktk hali mbaya zaidi kwa miezi sita..na tuliendelea hivyo hivyo karibu utawala wote wa Mkapa na hasa mwishoni.. mgao haikuwa hoja kabisa bali sehemu ya maisha yetu...Ajabu leo tumesha sahau!

Nitaweka hapa kipande cha habari toka U.S. Department of State, ofisi ya coordinator for Business Affairs, to prove my point.

For the past four years Tanzania has been experiencing a series of power
(electricity) shortages in its main gridlines. These shortages are a
result of the continuing effects of the regional drought of 1994/95. As
Tanzania remains 95% dependent on hydro-electric power, the 1994/94
drought seriously hampered the Tanzania Electric Supply Company's
(TANESCO) ability to generate enough power to meet the demands of the
economy. Starting in November 1994, Tanzania was forced to endure six
months of rationing, which meant that most Tanzanian factories,
businesses and homes were without power from 0600 hrs to 2000 hrs, seven
days a week. While the situation has improved over the last few months,
power rationing continues as a result of the nation's failure to
maintain the hydro-electric facilities that generate the majority of the
countries power.
In the medium term, an emergency program funded by the international
donor community to augment Tanzania's thermal power generation capacity
will come on line in late 1995. In addition, small hydroelectric power
generating increases are expected to come on line as well. Over the
long term, development of the Songo Songo Natural gas reserve and
Mchachuma coal fields will help alleviate Tanzania's dependence on
hydro-electric power generation.

Hadi leo bado sisi ni dependent wa Hydropower, kwa sababu gas hadi leo hii inachangia asilimia ndogo sana ktk hizo asilimia chache zilizopo.Yaani ni aibu tupu haitakiwi hata kuitaja..
kinachotia kinyaa ni kua leo zaidi ya miaka kumi na nne tangu matatizo haya ya umeme yalipoanza kujitokeza hakuna juhudi wala ufumbuzi makini wa tatizo la nishati hapa kwetu Tanzania lililo dhahiri ni kua visa vya rushwa na kujineemesha vimekua vikiripotiwa mara kadhaa, hii kadhia lazima ifike mahala watawala watambue dunia ya kisasa inahitaji nishati ya kueleweka, kwa gharama nafuu.
 
Hata mimi nashangaa. Meli hii imekuja imebeba shehena ya HFO (mitambo ya IPTL) na diesel. Hivyo shehena ilishaagizwa muda mrefu tu.
Wakulu

Unapokuwa kiongozi wa nchi unapokea "briefs" za nini kimetokea au kinatarajiwa kutokea

Hili tatizo la umeme lilijulikana muda mrefu,idara husika hutoa hali ya nchi kila siku kwa kiongozi mkuu na kujadili yote yaliyotokea kwa siku husika na nini kinatarajiwa kutokea based on kilichotokea.

Hata Dr. Idrissa huko nyuma miezi mingi tu ,alidiriki kulitangazia taifa kwamba nchi itaingia gizani.

Sasa sioni ni kwa sababu zipi "wachambuzi wa JF" waanze kuhoji mafuta na hiyo "so called mitambo" ya IPTL imefikaje ndani ya muda mfupi kiasi hicho.

NI MUDA MFUPI KWA MWANANCHI WA KAWAIDA , ILA NI SUALA LA MUDA MREFU KWA WATAWALA, walilifahamu hilo.

Hatuna intels za kutosha na kimsingi hatuna intels,hivyo TUACHE KUDHANI.
 
Mchakato wa kuwasha mitambo ya IPTL ulishaanza kabla ya Rais kuongea. Rais alichofanya ni kuongea tu kuongeza political popularity yake kuwa statement yake inatupa umeme kwa haraka zaidi. Pia ingeweza kuwafunga mdomo wale ambao wangekuwa against hiyo move. Tatizo lililopo ni kwamba wanasiasa wamekuwa watendaji wakuu siku hizi, na ndiyo maana hatuendi mahali popote hata kauli za rais hazifanyiwi kazi ipasavyo au inavyopasa.
 
Sasa sioni ni kwa sababu zipi "wachambuzi wa JF" waanze kuhoji mafuta na hiyo "so called mitambo" ya IPTL imefikaje ndani ya muda mfupi kiasi hicho.

Hapo juu sijakuelewa vizuri!

Ni kwa hakika kabisa mjadala unaendana na matamshi na mienendo ya viongozi baada ya "mgao" wa umeme kuanza

- Baada ya siku 180 (kama alivyotabiri Dk Idris) mgao wa Umeme unaanza!
- Zitto Kabwe anaitisha press na kutoa (not sure kwa capacity ipi?) na kutoa mapendekezo ya kumaliza tatizo la umeme
- Next, Waziri Ngeleja yupo na press na kutoa tamko la nini Serikali inafanya
- Next, Ma-Sekretari wa Rais wanaitisha press kusema alichosema Rais, na inabainika alichosema Rais ni "mitambo ya IPTL iwashwe mara moja"
- Next Ngeleja, anaitisha press kuelezea progress ya tamko la RAIS na kubainisha kuwa timu imeundwa kuangalia "logistics" za kuwashwa mitambo ya IPTL
- And then timu imekutana, RITA, IPTL, Treasury, e.t.c. Bila kuambiwa outcome ya mkutano wa Timu kwa ufasaha, tunaambiwa kuwa Waziri Mkullo amehakikisha kuwa "Fund" ipo ya kutosha kununulia HFO
- Suddenly Meli inashusha HFO
 
Back
Top Bottom