Mafuta hayajashuka bei Moshi!

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Serikali ilitutangazia leo bei ya mafuta yanashuka. Lakini cha kushangaza baadhi ya sheli leo Moshi hawakuwa wanatoa huduma hiyo. Nikabahatika kuweka mafuta katika sheli moja kwa shilingi 2285 kwa lita (petroli) ni bei ya awali.

Serikali ilikuwa inatutangazia maandishi wakati sisi tunataka bei kushuka.

Hali hii ya kudharau amri ya serikali inaonesha nini?
 
Back
Top Bottom