Mafuru wa VodaCom kuwa CEO mpya wa TTCL?

Mkuu si kweli.

Mphuru, yeye pamoja na jamaa wengine hivi karibuni walifanyiwa usaili wa CEO na bodi ya TTCL. So, no connection na unachodai.
 
Kijana wa POND kwa mzee wa shamba, muhogo kwa uji!, mwacheni apae. Ni kazi na uwezo wake ndio unamfikisha hapo....msiletee zenu za kifisadi fisadi.
 
jamaa ni kichwa huyu nimefanya nae kazi pale voda... na mpka naondoka pale yule jamaa yuko fiti

sina uhakika kama anapewa cheo kwa kigezo hicho ulichosema mleta mada
 
TTC is underperforming and one of the reason naamin ndani ya TTCL kuna "double agent" I belive in TTCL there are some decion makers wana sabotage hili shirika kwa manufaa ya kampuni nyingine shindani

If it is True hope Mafuru is not among them and will bring innovite ideas to keep TTCL ahead.
 
kama taratibu za ajira zitakua zimefuatwa ni halali kijana kupewa hiyo nafasi maana pia ni kijana mzuri kama ameweza kuvumilia miaka yote vodacom na kama mnavyojua vodacom ukilinganisha na makampuni mengine ya simu ndo inatoa misaada mingi ya kijamii kuliko yote.
INSHALAH Mwacheni akatusaidie pale TTCL maana tunahitaji vijana wenye mawazo mapya kama yeye na msianze habari za uswahiba.
Maslahi ya nchi mbele.
 
That is true Bro!
 
Ilitanganzwa hii nafasi?

Hapana Mkuu. Mara zote ambazo bodi ilitumia utaratibu wa kawaida, candidates waliowapata walikuwa si wenye guts za kulifanyia mabadiliko shirika. So, they decided to do secret shopping from the Industry Performers. Maphuru was among other 3 or 4 candidates waliokuwa interviewed akiwepo jamaa yangu wa karibu. Candidates wote ni vichwa vya nchi.

Hata hivyo CEO wa TTCL ni Presidential Appointment, so Board ikimaliza majina 3 yanaenda kwa Mkuu wa Kaya na recommendation ya board.

TTCL kuna challenges kubwa na nyingi zikiwepo: Staff wengi wasio na tija ambao kuwaachisha kazi terminal benefits ni kubwa sana na serikali inadai haina pesa. Staff kubwa but with lowest performance. Shirika bado linaendelea kupata hasara mwaka hadi mwaka.

So, TTCL bado ipo ipo tu.
 
jamaa ni kichwa huyu nimefanya nae kazi pale voda... na mpka naondoka pale yule jamaa yuko fiti

sina uhakika kama anapewa cheo kwa kigezo hicho ulichosema mleta mada

kichwa kwa kuandaa miss vodacom tanzania au? nchi hii bana imeoza kabisa..Mafuru is not CEO material at all..at all
 
kama taratibu za ajira zitakua zimefuatwa ni halali kijana kupewa hiyo nafasi maana pia ni kijana mzuri kama ameweza kuvumilia miaka yote vodacom na kama mnavyojua vodacom ukilinganisha na makampuni mengine ya simu ndo inatoa misaada mingi ya kijamii kuliko yote.
INSHALAH Mwacheni akatusaidie pale TTCL maana tunahitaji vijana wenye mawazo mapya kama yeye na msianze habari za uswahiba.
Maslahi ya nchi mbele.

Una uhakika na unachosema au unatania?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom