Mafuriko ya Dar- Kitalaam Mvua ilinyesha kwa kiwango gani....????

Yaptz

Member
Oct 29, 2010
43
5
Wakuu naomba msaada wa kujua kitaalam mvua dar zilizosababisha mafuriko zilinyesha kwa kiwango gani.... nimetazama kwenye website ya TMA hakuna hizi data
 
hawa jamaa wanakula pesa za budget lakini ukianga uwezo wao wa kupata data (mitambo ya satellite na vinginevyo) ni mdogo mno. Ni bora kutumia tu wale wanaoweza kazi hizi na kusave hizi pesa (in the future)
Wakuu naomba msaada wa kujua kitaalam mvua dar zilizosababisha mafuriko zilinyesha kwa kiwango gani.... nimetazama kwenye website ya TMA hakuna hizi data
 
Back
Top Bottom