Mafuriko tena?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Mvua zilizonyesha jana zimenikuta maeneo ya Yombo na
kunilazimisha kulala Guest kutokana na miundombinu kuharibika
na kusababisha hali ya usafiri kuwa mbaya sana,
Nimeshuhudia nyumba kadhaa zikiwa zimeanguka huku nyingine
zikifunikwa kwa mchanga. Sijui hali hii ikoje maeneo mengine maana
huku kulikuwa hakuna umeme kabisa hivyo nimeshindwa kupata
taarifa za maeneo mengine.
 
Back
Top Bottom