Mafuriko na Maandamano kwa pamoja

kongomboli

Senior Member
Apr 11, 2011
155
34
Hivi kama mafuriko yaliyotokea juzi yangeambatana na maandamano somewhere unadhani serikali yetu ingerespond haraka sehemu gani kati ya kwenye mafuriko na maandamano?
 
hahaaaaaaaaaaaa, kweli JF imepinda!!!

Kwa experience tuliyo nayo, nadnani maandamano yangeanza kupewa attention (au hata kutishiwa aishababu) kabla ya mafuriko kwani mafuriko yanahitaji maandalizi zaidi na mafuriko hayachagui yanasomba hata polisi tofauti na maandamano
 
bravo! kudos the big man MTM
 
Hivi kama mafuriko yaliyotokea juzi yangeambatana na maandamano somewhere unadhani serikali yetu ingerespond haraka sehemu gani kati ya kwenye mafuriko na maandamano?

JWTZ wangeenda kwenye mafuriko,halafu AL SHAABAB wangeenda kutembeza virungu,mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kwa waandamanaji
 
Acheni nyie tunge deal na maandamano kwanza wakati utaratibu wa kwenda kuwaokoa waliokumbwa na mafuriko ukiandaliwa
 
kaka nini sasa,mbona iko wazi maandamano yangepewa kipaumbele halafu mafuriko wangeyaangalia kwenye chopa
 
Back
Top Bottom