Hiyo ndiyo hali halisi wenzetu walivyo na mapokea ya kujenga majiji kando kando ya mito kurahisisha mfumo wa maji taka, balaa sasa mafuriko yanapotokea ni kizaazaa babu kubwa.
Naliona Piramid la tatu kwa ukubwa duniani lilivyozingirwa na maji kando ya Rt 40 jijini Mephis. Niliwahi kufika hapa miaka mitano iliyopita nilipotembelea USA. Ama kwa kweli hali inafadhaisha kwa wanaoishi hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.