Mungu atunusuru. Mimi pia nimezingirwa na maji huku Mabibo nashindwa kutoka nje! ikiendelea tu ama na huku mto ukicheua basi imekula kwangu!!!
Mimi pia sijatoka mpaka sasa, maji ni mengi mno hapa nje, yamejaa kwenye ngazi ya kuingilia k wangu, ikiendelea kunyesha na mimi nitakuwa mhanga wa mafuriko. Naona mzungu anaelewa maana hajapiga simu mpaka sasa kuuliza kwanini nimechelewa!:lol:
Kuna siku nilipokuwa dsm nilipita pale tangibovu, kuna ujenzi wa daraja unaendelea.
Ninahisi namna walivyoulazimisha ule mto kuzuia yale maji ndo imepelekea maji kupasua kingo baada ya kujikusanya kwa kukosa njia yake sahihi ya asili. Hivyo yale maji yaliyozuiwa kitambo yalipopata level inawezekana yakapita kwa kasi sana na kusababisha madhara haya makubwa...
Naamini JIJI limejiandaa kwa disasters kama hizi. Mamlaka ziongeze nguvu kuokoa watu..
Simu ya msaada ya polisi haipokelewi
Itakuwa hivi..Mpaka muda huu hatujaambiwa ofisi ya Waziri Mkuu imesema nini au tunatakiwa tupige namba gani maalum kwa janga hili kwa ajili ya wasilisha au kupokea taarifa.
Hiyo imani yako imetokana/imechochewa na nini?
Majanga kama haya siyo ya leo wala jana. Kila msimu wa mvua lazima maji yalete maafa.Hiyo imani yako imetokana/imechochewa na nini?
Imani yangu imejengeka ktk uzoefu wa JIJI kwani ni budi kuweka ktk vipaumbele vyake kuboresha njia za asili za maji na pia kujiandaa endapo mafuriko yatatokea..
Majanga kama haya siyo ya leo wala jana. Kila msimu wa mvua lazima maji yalete maafa.
Imani yangu imejengeka ktk uzoefu wa JIJI kwani ni budi kuweka ktk vipaumbele vyake kuboresha njia za asili za maji na pia kujiandaa endapo mafuriko yatatokea..
... labda wale makomandoo wetu waliokuwa wanavunja vitofa kwa ngumi siku ya maazimisho ya nusu karne!!
Serikali iko likizo au kama sio hivyo imelala fofofo.
Hakuna hata kiongozi mmoja wa serikali, kuanzia ngazi ya wilaya i.e District Commissioner hadi wa Kitaifa Rais, aliyejitokeza kuzungumzia maafa haya au hata kuwatembelea wahanga. Aliyezungumzia ni Kamanda Kova (RPC) tena hakuwa na facts za kutosha on what is on the ground.
Aibu aibu aibu kubwa sana.
Hawa ndio viongozi wetu