Mafuriko Dar es Salaam-Video

Ninawapa pole wale wote waliokumbwa na maafa ya mafuriko.
Kama serikali yetu ni ya kujifunza, hili lingetosha kuwa somo.
Si kila kitu tumlaumu Mungu ili kuepuka dhamana zetu.
 
Kaka tatizo si kama masomo hayapo ndugu, ( yapo bwelele ) lakini tatizo linakuja pale ambapo mtu ataki kujua na kujifunza somo lililopo na yaliyopoata kama anajua yeye ni poyoyo ajui na hana ajuacho lakini bado anajifanya anajua. Viongozi wa Liserikali hili ndio sifa yao kubwa. Mapoyooooyo kwisha kabisaa!!!!
 
Ninawapa pole wale wote waliokumbwa na maafa ya mafuriko.
Kama serikali yetu ni ya kujifunza, hili lingetosha kuwa somo.
Si kila kitu tumlaumu Mungu ili kuepuka dhamana zetu.

Watajifunza wapi? kwani hii si mara ya kwanza, na pia ile idara ya hali ya hewa walishatangaza siku nyingi mapemaaa kuwa mvua zitakuwa nyingi. Kwa hiyo serikali ingeweza kuchukua hatua mapema. Hata sasa bado haitasaidia lolote! hao wa mabondeni watarudi tena na si ajabu wakawa na vibali vya serikali. Nani anamjali mlalahoi nchi hii!
 
Back
Top Bottom