Mafuriko Dar au.....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
04_11_yy8gj1.jpg
Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka.(Picha na Robert Okanda).
 
04_11_yy8gj1.jpg
Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka.(Picha na Robert Okanda).
Tatizo Dar es salaam ni mifereji hamna ndio maana unaona maji yanakosa sehemu za kupita, sio kama kuna mvua kubwa zinanyesha
 
Tatizo Dar es salaam ni mifereji hamna ndio maana unaona maji yanakosa sehemu za kupita, sio kama kuna mvua kubwa zinanyesha
inabidi tumtafute mtu wa kumshika shati hapa na kinachotakiwa ni shinikizo toka kwa wananchi la sivyo hakuna atakayeshughulikia kwani kikwete mwenyewe yupo magogoni anajua kuwa kwa vile mpo kimya basi mmeridhika,yeye sio malaika wa kujua kuwa sehemu fulani daraja limebomoka au sehemu fulani hakuna sewage system , eti hamjawahi kusikia kbungeni kuwa halmashauri zimerudisha pesa hazina? hawajui wazipeleke wapi, kinachotakiwa ni sauti ya umma kama kuziba barabara au kumzuia mtu mkubwa hapo sauti zitasikika la sivyo tutaishia kuambiana tu wenyewe kwa wenyewe huku tukitaabika wajameni
 
04_11_yy8gj1.jpg
Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka.(Picha na Robert Okanda).

aliyeweka ndoo kichwani ni mwanamke au mwanaume/? ananyanyua vyuma au hiyo ndoo anabebaga kokoto nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom