Lakrome nusura nayo isombwe,hakuna aliyeumua,wote wamenusurika!!walikuwa zaidi ya 60 abiria
​Pombe ameshaenda huko kuangalia uharibifu?
Hiyo niyo miundo mbinu walotuwekea magamba yakuatarisha maisha yetu waTz
Kuna boti za kukodi hapa ninazo,usijali garma we tia timu utavushwa
Sasa nitaendaje kwetu?