mafunzo ya sensa

mwela

Member
Apr 26, 2011
47
7
jamani naomba mwongozo km kuna mtu anawaraka wa malipo ya waliohudhuria mafunzo ya sensa.maana cc huku wilaya ya momba.wameambiwa watalipa kwa TGS.nawasilisha.
 
Mkuu mwela mimi nimegoma mpaka kipengele cha dini kiwekwe.Kitambulisho cha taifa pia nitakigomea mpaka waweke kipengele cha dini kwanza.Pasport yangu nimeichoma kwasababu haina kipengele cha dini.Sitasafiri mahali popote kwasababu tiketi hazionyeshi dini ya msafiri.

jamani naomba mwongozo km kuna mtu anawaraka wa malipo ya waliohudhuria mafunzo ya sensa.maana cc huku wameambiwa watalipa kwa TGS.nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom