Mafunzo Ya Kuogelea...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Natoa mafunzo ya Kuogelea, natoa offer ya bure kwa wadada wa Jf.. Erotica Kaunga mwaJ Preta ..karibuni

Aloshika pira ni mimi nikiwa kazini

wawili.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kwetu visiwa vya ukerewe mtoto anajua kuogelea pindi tu anapoanza kutambaa. Labda uwafundishe cacico na Asprin maana walinambia wanahamia Pemba kikazi lakini wamepata nyumba Unguja hivyo ni mwendo kupanda chombo kila siku. Ili kujiweka sawa na hatari za bahari bora wajue kuogelea.
 
Last edited by a moderator:
Boflo mbona simuoni mtu mwenye mpira? au unazungumzia mpira upi?
 
Last edited by a moderator:
Alooo kwa jinsi nilivyo kimbau mbau nikijidai dai ohoo nakupenda, ohoo nakulavu naweza potelea kwenye 'mijumba' ya hii mijimama!
 
Boflo, unajisikiaje kama mwalimu wanafunzi wanakukataa tena kwa mafunzo ya bureee?
 
Last edited by a moderator:
Boflo kama unamfundisha huyo kibonge, hilo floater lisije likazama
 
Last edited by a moderator:
Duh umetisha bofloo,vizuri share na wenzako!!unaniachia yupi hapo nimfundishe kuvua samaki lol
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom