Mafunzo ya karate

Tae kwon do ni nzuri kwa mapigano ya mbali ila katika close encounters,unaweza kuumbuka labda uwe na ujuzi mwingine kama jujitsu n.k
Mkuu unakosea. Kwenye Taekwondo kuna short and long range fighting. Kuna kila kitu sema inategemea unajifunza kama Nani.

Namaanisha kuna Taekwondo Kwa ajili ya michezo, kuna ya wanajeshi Na wanausalama, kuna ya nidhamu Na afya Na kuna kitengo Kwa bodybuilding.

Sasa uje Arusha Kwa Mwalimu Prosper Na Richard Kitolo mpate mafunzo.
 
Wakuu nahitaji kujua sehemu wanayotoa mafunzo ya Karate kwa ajili ya mwanangu. Napendelea iwe maeneo ya Kimara au Mbezi (Mbezi KwaMsuguri au Mbezi Mwisho). Nimefuatilia huu uzi kwa karibu. Nitashukuru kama nitapata contacts za sehemu zinazotoa hayo mafunzo. Iwe karate ya aina yoyote...but kama kuna options nyingi kwa maeneo hayo niliyotaja then nitashukuru kujua pia. Asanteni
 
Achana Nao hao Kijana Njoo Tukufundishe COMBAT KARATE ambayo Hizo Zote za Kipuuzi puuzi Ulizozitaja au Walizozitaja Wenzio Zimejumuishwa Ndani na Uzuri wa Hii Si Ya Kujeruhi tu bali Hii Ukigusa tu Umeua na Uwe Tayari Kupiga Kupasua Jiwe Kwa Kichwa, Kupiga Ngumi ktk Metalic Punching Bag, Kupiga Msamba ktk Chupa za Bia au za Soda, Kufunga Kunya ( HAJA KUBWA ) kwa Miezi Mitatu, Kuweka Viganja Vya Mikono Yako ktk Mchanga wa Moto Mkali Sana ili Kuondoa Ganzi, Kukata Mti Kwa Kupiga Kwa Sehemu Ya Ugoko Ya Miguu Yako, Kuruka Sarakasi za Kila Aina, Kuruka Kutoka ktk Ghorafa Ya Kuanzia Ya Pili au Ya Tatu Miguu Peku ili Kukomaza Kisigino na Mguu Wako na Mwisho Kabisa Uwe Tayari Kupambanishwa na Chui Chumbani Kwa Dakika 15 tu na Ukifa Shauri Yako! Jiandae Pia Kwa Mazoezi Ya Kupasha Mwili Kila Siku Kwa Kukimbia kutoka Dar hadi Chalinze Kwa Spidi Kali na Hakuna Kusimama au Kuzunguka Uwanja wa Mpira Mara 500 Kwa Spidi Kali na Kubwa. Hiyo Ndiyo Combat Karate na Contents zake ndiyo Hizo na Ukihitaji Hiyo Kozi Nitafute ili Nikufanyie Interview Ya Kwanza tu Ambayo ni Ya Kupima URIJALI wako ambapo UTATAKIWA KUSIMAMISHA CHUPA YA MAJI KUBWA YA KILIMANJARO ktk UUME WAKO ( MBOO YAKO ) KWA DAKIKA 5 tu na Ukishindwa hiyo Interview Ndogo tu na Nyepesi basi Hutakuwa na Sifa Ya Kujumuika Nasi ktk Combat Martial Arts Training na Tutakushauri tu Uendelee na Hao akina Sensei Wenu na Karate Zenu za Kishoga.
Mbona tuliyopiga depo hakuna hayo mambo unayoyataja mweeh
 
We mkuu unataka mtoto wako awe mwanamichezo wa karate au mbinu za kujihami za martial arts? Kama ni michezo kuna madojo mikoa mingi hapa nchini lakini kama ni kujihami watu wapo wengi tu wanaweza wakamfundisha, tafuta maasikari wa jwtz hasa vijana kwani wengi wanaujuzi na kombati karate japo sio kwa raia, hizi ni ngumi za kijeshi zenye mchanganyiko wa mbinu za hand to hand combat. Hii lakini haitamjenga kijana wako kwani hii ni hatari, ni kupiga na kuua.
 
Back
Top Bottom