Mafunzo ya joomla

Kwenye mafundisho haya tutaangalia aina, makundi na jinsi ya kuongeza ufanyaji kazi wa tovuti ya joomla kwa kutumia components. Source: AfroIT.com

 
Last edited by a moderator:
Nina maombi kidogo kwa Moderator, je kuna uwezekano wa kuistick hii makala hadi pale nitapomaliza mafundisho? Kwani inakuwa ngumu kwa baadhi ya watu kufuatilia kwa kila update, kwani hata mimi binafsi imeniwia msuli kupata hii post kila ninapotaka kupdate.
 
Katika module hii tutaangalia Jinsi ya kubadilisha muonekano na mpangilio wa Joomla. Baada ya mafunzo ya leo utaweza kuwa na tovuti yenye muonekano uupendao na wenye kuvutia kabisa. Pia ntakuonesha ni jinsi gani na wapi unaweza kupata hizo template. Source- AfroIT.com

 
Last edited by a moderator:
Katika module hii tutaangalia jinsi ya kuweka lugha mbalimbali kwenye joomla ambapo tutaanza na jinsi ya kuipata, kusimika, kufanya manjonjo mablimbali, kuweka module kwenye lugha husika na bila kusahau kutengeneza menu kwa lugha husika huku ukimuwezesha mteja kuchagua lugha aitakaye. Source: AfroIT.com

Kusetup tovuti yenye lugha nyingi kwenye Joomla - Part 1 (Joomla Multiple languages website)




Kusetup tovuti yenye lugha nyingi kwenye Joomla - Part 2 (Joomla Multiple languages website)

 
Last edited by a moderator:
Leo kuna mdau kaniulizia kuwa tumefikia wapi mbona kimya, nimetoa wiki moja ya mapumziko kwa wadau kumalizia mafundisho yaliyopita kabla hatujamaliza Phase ya mwisho ambayo ina vipengele vinne, 1. Usalama, 2. Uboresho 3.Kuhost na kuiweka online 4. Byebye Vipengele hivi vinahitaji watu kufahamu matangulizo kwa uzuri wake. hivyo tukutane jumatatu ijayo.
 
Katika mafundisho haya tutaangalia jinsi ya kuongeza usalama kwenye tovuti ya joomla. Tutaangalia jinsi ya kuboresha ulinzi kwenye tovuti yako.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom