Bray Etg Nakey jr
Member
- Aug 25, 2015
- 70
- 24
Tofauti kiaje manNiko kwenye DCM zenyu naelekea Ilala Kupeleka vikaguliwe vyeti ILA juzi mbio Pumzi ilikata Mura Kati ya watu 200+ wenye Degree wakachukuliwa watu kumi Tu wadada wa4 na Masela6 But Leo mambo yamekua tofauti.