Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Na ww ujiandae kubadili jina
Mara zote huwa ninasimamia kiapo,kwahiyo nitaondoka moja moja bila kufungua I.D nyingine ila wewe ukibadili I.D tutajua tu mana utakua unatumia same acces yani hyo hyo simu ulyonayo saizi kwahyo tutaku Ban get ready mkuu
 
Km ipo ipo tu
Tuombe mungi
Acha kubishana na hao fungu la kukosa kikubwa tunza afya hata kama mwakan poa kuwa na subiri 2 na pia kama usaili utarudiwa sioni tatizo vigezo navyo na bado natunza afya msikubali kupanikishwa na hao mamen wenyewe tabia za kike kikubwa kujitunza tu hata kwenda mwakan mbona gud 2
 
Kuna tatizo moja la watu mnaotumia mitandao mingi ya kijamii kuwa na kiherehere sana na kujigeuza wasemaji wa mambo mengi ya msingi ambayo yana watu wake wamewekwa kuwa wasemaji lkn kwa kiherehere kama alivosema Jana Mhe. Rais kuna watu wanajivika kazi zisizo zao,MOTO WA MAJI NI LINI UMETEULIWA NDUGU KUWA MSEMAJI WA JKT AU WIZARA YA ULINZI AU FEDHA?
 
Vijana wa kujitolea jkt 2016 mnaenda mafunzoni siku si nyingi kuweni na imani lakini pia mjiandae mambo yataenda kwa kasi ya hapa kazi tu,mvua hizo zimeanza lazima mkalime sana lazima mkafanye sana kazi, huu ni muda mzuri sana kwa mnaotarajia kuendelea kupanua Mawazo yenu juu ya nini mtaenda kukifanya kule makambini ichimbeni nchi yenu muijue vema,jueni vitu vingi vitakavyokuwa msaada ktk mafunzo yenu,wenye Uwezo wa kuingia mitandaoni YouTube IPO itawafundisha namna ya kufunga na kufungua silaha hivo uipatapo elimu hii mapema mafunzoni utapeta tu,MAMBO YAMEKARIBIA HONGERENI KWA UVUMILIVU TANGU JULY.WAZII???
 
Back
Top Bottom