Mafunzo ya IP V4 toka AfroIT - Video

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Katika mlolongo huu wa makala za IP, tutaanglia juu ya maana ya IP, kazi na utendaji kazi wa IP katika lugha rahisi na yenye maudhui ya Kitanzania. Huu ni muendelezo wa mafundisho ya Sub netting. Source: AfroIT Videos







Sehemu ya pili.



Tukutane sehemu ya nne ambayo ni jinsi ya kusbnet, mambo ya VLSM na mengineyo.
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo mkuu yale mambo ya joomla yameshaisha mkuu lakini poa tu tupo pamoja..:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
 
Mkuu bado ila leo tulikuwa break, tunaendelea kesho, kwani umeshamaliza hadi shemu ya tano??
 
Back
Top Bottom