Mafunzo kwa vitendo

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Wakuu naomba msaada wenu.

Nina dogo anasoma Diploma ya Rasilimali Watu pale Ustawi wa Jamii anatafuta sehemu ya kufanya Mafunzo kwa Vitendo kwa muda wa miezi miwili. Amalizapo hayo mafunzo wa vitendo ndio itakuwa mwisho wa program yake hiyo.
Wakuu mweenye msaada wa aina yoyote ili kumwezesha huyu dogo tafadhali msaidieni.

Asanteni

Angalizo:Kama huna cha kuchangia ni bora kukaa kimya
 
Back
Top Bottom