Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Ila Zitto na wewe si sehemu ya kundi la mabilionea? au unakuja hapa kutusanifu? huna credibility ya kuwanyooshea vidole wengine, wewe ni Paulo na una mikono michafu usije kucheza na sisi.

according to you.

wenye akili fupi hujadili watu. watu makini hujadili masuala.

ukikosa hoja usilete vioja. shuka nyanga sio kubwabwaja
 
Mikono michafu?Nadhani mikono michafu ni ileinayochuruzika damu ya CHACHA MAIGE WANGWE
 
Wee umeamua kusema kwasabubu husikii au huelewi ....subiri helkopta na magari yaje endelea kuchangia hoja ya zito acha umbea

Slaa amechota milion 140 za chama na kujengea nyumba huko tegeta,Lema amekula pesa za m4C mpaka sasa ruzuku ya chama haiendi mikoani ,mbowe amekiuzima chama mafuso mabovu hayo yote hamuoni eti kwa sababu wamefanya wakaskazini.
 
Ila Zitto na wewe si sehemu ya kundi la mabilionea? au unakuja hapa kutusanifu? huna credibility ya kuwanyooshea vidole wengine, wewe ni Paulo na una mikono michafu usije kucheza na sisi.
MIKONO MICHAFU NI ILEINAYONUKA UFISADI WA hela za M4C za watanzania walala hoi,Muda huu zimeelekezwa kumalizia nyumba ya LEMA
 
I like it.."JK is a past brother .... he has passed expiery date" Ok, who is your current One? I trust on you "Mr Strategic" sitaki kuwanyima wengine utamu, mbona "umerukaruka" issue ya POLICCM kuuwa mafukara? ama ndio vioja!! mafukara million30, matriionea30. Mkuu, Binafsi sichukizwi daima na mtoa hoja nachukizwa na vitendo vya mtoa hoja hasa kijipendekeza CCM, kuudhofisha upinzani na vijana pia harakati za CDM , na nitajadili vitendo vya mtoa hoja na mjadala unaendelea...
Ha ha haaa kazi ipo hapa leo....acha niendelee kuwa msomaji
 
Watanzania wanadanganywa na hawa wajasiliamali wa kisiasa wakina Mbowe,Lema na kibaraka wao Slaa eti watakuwa na helkopter 4 wakati mpaka sasa Ruzuku ya chama imesimamishwa kwenda mikoani kwa sababu ya uhaba wa fedha eti leo wanataka helkopter4.kama hawa chaga development manifesto wanakula jasho la watanzania kwa njia ya M4C mfano lema kala pesa ya m4C ya dsm na sasa anajengea nyumba mbagala.
 
Slaa amechota milion 140 za chama na kujengea nyumba huko tegeta,Lema amekula pesa za m4C mpaka sasa ruzuku ya chama haiendi mikoani ,mbowe amekiuzima chama mafuso mabovu hayo yote hamuoni eti kwa sababu wamefanya wakaskazini.

lete hoja yako na ushahidi kama walivyofanya mwanahalisi kwenye ulimboka issue au police waliouwa mwangosi tuliona picha na story full au ufisadi aliousema slaa mwembe yanga.
kwa sasa nakushauri rudi ndani tujifungie tujadili lililopo la zito acha kuleta porojo huwezi tutoa kwenye issue ya ufisadi kwa umbea wako wa kitoto na kijinga elimika hivyo vipesa kidogo unavyo pewa kuvuruga humu havita kusaidia mwisho wasiku ndugu zako hata wewe mwenyewe huna uhakika dawa hosipitalini

Mikono michafu?Nadhani mikono michafu ni ileinayochuruzika damu ya CHACHA MAIGE WANGWE
Gongo za asubuhi zina madhara yake Deus F Mallya kuna pimbi hapa nadhani hakuwepo wakati unatowa ufafanuzi kwa kila kilichojili kwenye ajali ya Chacha Wangwe na Members karibu wote walilidhika na maelezo yako.

Sisi kama JF hatuna tena muda wa kujadili kuhusu Chacha wangwe we have no time for stupidity Hoax.
 
Last edited by a moderator:

Hata kifo cha mwangosi polisi wanasema mwangosi alibeba bomu mwenyewe na akajilipua.kwani mbowe hajui kilichompata chacha wangwe na ni mtanzania gani asiejua mgogoro wa mbowe na wangwe.
 
Last edited by a moderator:
Kinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!
 
lete hoja yako na ushahidi kama walivyofanya mwanahalisi kwenye ulimboka issue au police waliouwa mwangosi tuliona picha na story full au ufisadi aliousema slaa mwembe yanga.
kwa sasa nakushauri rudi ndani tujifungie tujadili lililopo la zito acha kuleta porojo huwezi tutoa kwenye issue ya ufisadi kwa umbea wako wa kitoto na kijinga elimika hivyo vipesa kidogo unavyo pewa kuvuruga humu havita kusaidia mwisho wasiku ndugu zako hata wewe mwenyewe huna uhakika dawa hosipitalini

Mwandishi wa mwanahalisi na mhariri ni Dk.slaa ila huwa anatumia jina saed kubenea.kubenea ni darasa la saba na amezaliwa huko mafia hapa mjini anafanyakazi ya ukuhadi ndio maana baada ya kufungiwa mwanahalisi slaa alipiga sana kelele maana ndo ulaji wake kama hujui ndo nakujuza.hata umeme ukikatika ofisi ya mwanahalisi huwa wanachukua generetar ya chadema pale makoa makuu.
 
according to you.

wenye akili fupi hujadili watu. watu makini hujadili masuala.

ukikosa hoja usilete vioja. shuka nyanga sio kubwabwaja

wachaga hawana hoja wamebaki kusema zitto ni tajiri huku mbowe akiuza watoto wa kike pale kwenye danguro lake billcanas.
 
Sina imani na wewe Period. Nilimpenda sana Zitto wa mwaka 2007 na siyo huyu Zitto Billionaire wa leo, kipenzi cha wana CCM.

Matola tumeshasema sana karibu thread mia juu ya Zitto! tusubiri matukio mengine tuzidi kuhukumu lakini huyu Mheshimiwa anapoleta mijadala ya issues hebu tumwage nyanga au tukosoe hoja yake mbele yetu na si kumsakama yeye binafsi.

Hebu tutafute zile thread za kumsema Zitto kuandika haya lakini hapa tuandike kwa hoja kuhusu mjadala ulio mbele yetu.
 
Kinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!

Hapa ni hoja kutoka kwa watanzania kutoka pande zote za TZ na upande mmoja wa nchi(kaskazini mwa Tz)
 
Kinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!
Wengi bado hawana habari kama Jembe lao limefunguwa thread huku JF ngoja watoke huko facebook saa hizi wanakusanyana na wataingia hapa kama vipanga.

kwanza usipomuona Ben Saanane leo kwenye thread hii najipiga ban ya wiki moja ni kitu ambacho hakiwezekani.
 
Unaweza kutueleza Zitto yupo chama gani? kuwa makini usije kusitishiwa huduma ya bundle maana huna msaada.
Zitto toka aanze siasa ni CHADEMA damu hadi moyoni kuanzia familia yake.
Dr,slaa ndio nawasiwasi naye,AMEKUJA CHADEMA BAADA YA KUJERUHIWA CCM,AMEKUJA KUPOZA MAUMIVU YA CCM NDIO MAANA ANASHUTUMIWA KWA KUMILIKI KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA.
KUMBUKA ZITTO AMEANZA HARAKATI ZA UKOMBOZI AKIWA NA MIAKA 20,DR.SLAA AMEANZA AKIWA NA MIAKA 6O MIAKA 50 AMEITUMIKIA CCM
 
Matola tumeshasema sana karibu thread mia juu ya Zitto! tusubiri matukio mengine tuzidi kuhukumu lakini huyu Mheshimiwa anapoleta mijadala ya issues hebu tumwage nyanga au tukosoe hoja yake mbele yetu na si kumsakama yeye binafsi.

Hebu tutafute zile thread za kumsema Zitto kuandika haya lakini hapa tuandike kwa hoja kuhusu mjadala ulio mbele yetu.

Lema alishindwa kutoa maana ya TCU akiwa mahakamani!
 
Hata usipokubali mdomoni,utakubali moyoni. Mabadiliko ni kama nature na huwezi kuyazuia.

CCM haitatawala milele....poleni sana vibaraka wa CCM kwa kutokubali ukweli huu.
 
Back
Top Bottom