Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Unafiki unamsumbua huyu,hakuna asiejua kwamba ni msukule wa slaa!
kama kila mtu ni msukule na wewe ni wa nani?
Unafiki unamsumbua huyu,hakuna asiejua kwamba ni msukule wa slaa!
Hii ndio tofauti yako na wao.wao wanaamini hakuna uwezekano wakutotumika.Kwao shida si kutumika ila nani kakutumia,kwa ukweli hauwezi kuwa kweli bila kujua nani kasema na ni wakundi fulani.Sina kundi na wala situmiki na yeyote yule.Kama wewe unatumika siyo kila mtu.I like unity with a purpose.
Live your life with a purpose,make sure its for the better of your nation's well being.Taifa lilipofikia,ni wazi maadui wake mnajitenga dhahiri.You will be held accountable.
Wewe Pimbi mimi siyo Mwanachama wa Chadema sasa inakuwaje unaniingiza kwenye makundi ya ya Chadema!? Fanculo.Wewe usitake kujifanya kuwa hauko kwenye kundi la kina matola, tunajua wazi kuwa unatumiwa na kina Slaa kumpiga vita Zitto.
watu wenye mawazofinyu,wakipata bahati ya kupata ufafanuzi wa mambo mhimu ya mambo ya jamii yao,kutoka kwa watu wenye deep thinking kama ndugu zito,huanza kumtusi na kutowa maneno ambayo huakiki ujinga wao.ndugu zito ametowa analysis makini sana.nina wasisi sana na CV ya mchangiaji wa kwanza.huyu jamaa anamawazo finyu kama niliyokuwa nayo darasa la pili.
Wanabodi!
Naomba kutoa taarifa kuwa kuna watu wame-hack password yangu ya JF hapa jukwaa na kupost vitu ambavyo ni vya ajabu ajabu.
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa taarifa hii rasmi kuwa comment zote zilizotangulia awali kwenye thread hii sio zangu bali ni maoni ya hao watu wenye malengo wanayoyajua wao wenyewe kwa manufaa ya misimamo yao.
Nawasiliana na JF Admin kwaajili kurekebisha tatizo hili.