Mafsadi who are they?

Aug 10, 2011
81
9
Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura.
sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia thabiti ya kuondoa mafsadi katika serikali au chama.

 
mtu anasema Mafisadi harafu usiku wanapigiana simu wanasema umeona tulivyo wachuuza?. hii bongo imekufa, naye katibu mkuu anatoa kasauti, unajua mie nilikuwepo pale mkutanoni nikawa nawacheka tu.:eyebrows:
 
Back
Top Bottom