Mafisadi CCM lazima wavue gamba

Kuna mchezo unayotaka kuchezwa kuwaokoa watu wanaotakiwa kujivua gamba.
Kuna watu wenye uwezo wa kutoa maamuzi, wanajaribu kutumia njia ya vikao kuwaokoa wale ambayo wanatkiwa kujivua gamba.
Navo ni kupitia wenyeviti wa mkoa, makatibu wa mkoa na wajumbe wa NEC.
Ukiaangalia umri wa hao wenyeviti , makatibu na wajumbe, utakutaumeshaenda. Na wengi wana njaa zao na rahisi (kama itakuwa bado) kuwa compromised kifedha. Hawana cha kupoteza hasa ukizingatia wana muda mfupi (kwa sababu ya umri).
Wanao umia ni vijana (less than 35 yrs).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom