Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

hospitali ya wilaya hakuna mtaalam wa x-ray. Hii ni dharau kwa wananchi wa mafia. Kisiwa kilivyojitenga kijiografia ilikuwa ni muhim sana kusogezewa huduma muhim na za msingi. Leo hii ukipatwa na ajali, ex ray hakuna, hadi upande ndege kwenda tanzania ama commoro. Sijui mkuu wa wilaya, mkurugenzi na takataka wengine wanasimamia nini hapa Mafia.
 
mazuri ya mbunge buji hamtaki kuyasema
 
kidumu chama cha mapinduzi? subirini miaka mingine hamsini ya uhuru ccm inashugulika na maeneo ambayo watu wanaonekana kuleta upinzani ili kuwarudisha imani kwa chama, sasa washugulike na nyie sasa ili iweje? ccm wana uhakika na watu wa mafia kuwa ni wao.
 
Tatizo wanaompinga mbunge wa sasa hawataki kusema ukweli

Buji kaifanyia Mafia mazito mengi lakini kwa sababu ya chuki binafsi wanamtangazia eti si msomi kama wao
 
Je huyo Bulji ni mwadilifu nyumbani kwake?

Je binti yake aliyeolewa na Saad Mwamboka ni mwadilifu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom