Mafataki wa kike ni wengi kuliko wanaume

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,907
22,057
Unajua nahisi watanzania wengi tumeshindwa kuelewa maana ya ufataki..nimejaribu kuangalia na matangazo yao wanayosambaza na kama nihivyo basi ndg mpoto ..hao wahusika waambie ukweli mafataki wa kike ni wengi kuliko wanaume\si mbaya mkatengeneza na matangazo yanayowagusa mafataki wa kike..vijana wengi wameoa wakitoka wanadai wako ofisini mpaka saa moja na nusu mbili ..kumbe wako ruvuma mpaka maputo wamefichwa na mijimama..na si hivyo tu kuna ma binti jamani ukipita mjini wala mshipa wa aibu awajaumbwa nao wanaanza kaka samahani kama nimekuona sehemu na ni wazuri na wewe kwa tamaa unajibu na mie kama nimekufananisha na mtu fulani...yaani na sehemu za wagen wanalipa wenyewe na wengine unakuta wanaenda kuchukua gari kwenye parking hasa lunch tym hasa lile saamoja na nusu waanandoa wanaumiasana...anyway tuwekeen na tangazo la wanwake
 
Vijana wengi wanao tembea na mafataki ya kike ni above 18 na tofauti ya sisi wanaume watu wanavianza vikiwa na mika 10+ na kingine mhimu watoto wakike wanapata mimba wanashindwa kumaliza shule....
 
Rais alisema ni kiherehere chao.
 
wameshatoa wale wako wote wa kike na wa kiume wanasubiri watoto watoke shule,ila huyu wa kike aitwa "mama mcharuko"
 
Back
Top Bottom