Mafao ya wafanyakazi ATCL: Balozi Nyanganyi apingana na serikali

Wananchi wana haki ya kumuuliza waziri DR. Shukuru Kawambwa, kwanini mpaka sasa hajaiweka hadharani report ya uchunguzi ya Prof. Mshoro na kamati yake juu ya ATCL? Kamati ilitumia fedha nyingi za walipa kodi lakini mpaka sasa wananchi hawajaelezwa lolote. Waandishi wa habari kwanini hamfuatilii mambo kama haya?

Mkuu Bulesi,
You made a point. We can not keep on discussing issues zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ni vema ile ripoti ya Mshoro iwekwe hadharani tuweze kuipitia na kuona tunaisadia vipi ATCL. My take: Mapendekezo ya Prof. Mshoro serikali haijayapenda.
 
Uamuzi wa kupunguza wafanyakazi ni bora ili shirika lianze kusimama dede; Kwa Afrika Mashariki wakenya watatupiga bao, sasa wanakuja juu na kwa kupitia shirika la precision air wamekwishaomba kutinga viwanja vya Tanzania kutoa huduma baada ya kukamata soko la biashara ya ndege barabara. Ninachohufu ni kujaa kwa wakenya nchini kwetu na kushika kazi, Mtanzania ataenda Kenya? Thubutu! wanaoishi kenya hata kwenye mashirika ya UN wanapata joto ya jiwe wenyewe waeza sema kama wanapitia JF. Mawaziri tulowachagua kwa kura zetu angalieni mbali!!!!
 
Habari zilizotufikia hivi punde..wafanyakazi wa ATCL wamepanga kufanya mgomo kutokana na kutolipwa mshahara wao mpaka sasa wa mwezi wa tisa
wakiongea kwa masikitiko baadi ya wafanyakazi walilalamika itendo cha menejiment kukataa kuwalipa haki yao mpaka wamalize zoezi la ridandas...
Katika kuwauliza iweje mpaka sasa awajalipwa na wanaendelea kufanyakazi walilalamika kuwepo na kundi la baadhi ya wafanyakazi ambao wao wamekuwa wakionekana kwa menejiment kama ndio wafanyakazi wa ATCL....Baadhi ya wafanyakazi walidiriki kulalamika kutoheshimika ajira za wafanyakazi....aiwezekani mtu amefanya kazi mwezi mzima na siku 10 bado huna hata dalalili ya kumlipa...hapo wafanyakazi wakianza kugoma wanaonekana wabaya...nahisi imefika wakati wafanyakazi kudaii haki zao kwa njia muafaka...alisema mama mmoja aliesema amefanya kazi miaka 20 hajawahi kuona hili linalotokea leo hii...,
Serikali inaitaji kujali hili shirika;kumekuwa na maneno mengi juu ya hili shirika na uongozi wake wengi wakitajwa kulimaliza kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wizra ya miundo mbinu....serikali kama mnashindwa kuwathibiti vyema msimamie hawa wafanyakazi kupata haki zao..swala la kupunguzwa na mshahara wa mtu ni vitu viwili tofauti....iweje kama wanangangania mpaka wamalize zoezi..na wafanyakazi nao wakangangania mpaka walipwe mshahara.........kuwepo na mahusiano mazuri kati ya uongozi na wafanyakazi ili hata kama mtu anaamua kuondoka ama kuondolewa anakuwa analikumbuka shirika kwa wema wake..kuliko kuona kinyaa kila akisikia jina la kampuni iliokuwa ikimlinda ndani ya miaka zaidi ya 25...
Wafanyakazi mnabidi muamke ;angalieni ndugu zenu TRL walichofanya mpaka wakaanza kuwapa mshahara muda muafaka achilia mbali kuwaongezea...na hili la mkupunguzwa nawashauri vyama vyao vya wafanyakazi viwe makini sana na wasikubali kuburuzwa na menejiment ama bodi ya kampuni.....

Tunawatakia kila la kheri
 
Hii nchi inatisha sana. Ni kama kila kitu kinakwenda kwa mwendo wa dharura unaohitaji huduma za casuality and ICU. Kuanzia afya ya Mkuu hadi maisha ya walalahoi. Ila siku wafanyakazi wakizinduka na kujua kuwa wanao uwezo wa kuwabadili viongozi wa nchi ndio haya mambo yatakapofika mwisho. Tabia ya wafanyakazi kuendelea kuvaa uniform za kijani huku wanaendelea kusota inabidi ifikie ukomo.
 
Si ungewapa live tu;nyie wafanyakazi acheni ujinga

gomeeeeeeeeeeeeeeeeeni vinginevyo hamlipwiiiiiiiiiiiiiiii

mkigoma hao wanaitwa wizarani nini tatizo;na pengine hata hela za mshahara wanazo wamezitumbua kazeni misuli acheni ujinga.....\
\sio lazima watokee wakina kilango/dk silaa kuwaaibisha walafi ;hata nyie amkeni...natamani ningekuwa uko wangeona moto wangu....

Wao mnakuta wameshajilipa saa nyingi
 
Back
Top Bottom