mafao ya nssf

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
wadau nauliza. Nimeacha kazi shirika fulani miezi 6 iliyopita. Sasa niko nafanya kazi sekta nyingine. Nilikuwa mwanachama wa nssf kabla na baada ya kuacha kazi huko. Nafikiria kufuatilia mafao yangu lakini ninauliza kwanza. Huku nilipo mafao yangu ya nssf yanachangiwa kwa namba yangu ya zamani. Sasa baada ya hii miezi 6 naweza kwenda fuatilia yale mafao yangu ya awali kabla sijaacha kazi huko yakabaki yale yanayochangiwa na mwajiri wa sasa?
 
Umechelewa Raia fulani,nssf hawatakupa kwa sababu tayari una kazi ingine.Ungezuia michango yako isiende kwanza vinginevyo upitie mlango wa uani hawawezi kukupa labda uache kazi tena na upate termination letter
 
Umechemka ndugu, ishakula kwako m2 wangu, haiwezekani tena labda uache kazi tena, ila next time usirudie the same mistake
 
Back
Top Bottom