VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Siwezi kusema ni mbaya kwa vile wasipofanya huwa wana furaha na wameridhika kwa hiyo kwa definition niliyoitoa (mmmh!!??) wanajiona kuwa weshafanikiwa though sisi tuliomzunguka tunaewza kuona kuwa ni wasted talent
Unless mtu kitu akifanya anakuwa hakipendi ila anafanya kwa kumridhisha mtu (mfano mzuri ni watu kama Tiger Woods na Williams Sisters) wasingekuwa hapo walipo bila wazazi wao kuwa pushy hivyo basi kama hawapendi kufanya hicho wanachofanya na wangependa kuwa ma-humanitarian kama Mother Theresa au wahubiri dini..(basi on personally level watakuwa hawajafanikiwa kimaisha) lakini kama wanapenda wanachofanya basi its a win win situation na wamefanikiwa...
Sasa basi tukienda a one step further kama baada ya kushinda major moja Tigers angeanza kuvimba kichwa na kuacha mazoezi na kuwa mlevi hadi kiwango chake kushuka..., !!! , hapo definitely atakuwa hajafanikiwa (sababu kumbuka maisha sio destination ni journey) na in the long run atakuwa amewa-let down ndugu zake, yeye mwenyewe na fans wake, na hata yeye mwenyewe akisema ana furaha kwa hili atakuwa in-denial.
Lakini tuseme mfano William Sister mmoja baada ya kushinda mechi kadhaa akaamua kuacha kucheza sababu anapenda ku-settle down na kuanzisha familia na kupumzika hapo tunasema kwamba amefanikiwa kimaisha kuliko angeacha kile kitu anachopenda cha ku-settle na ku-raise a family (hapo atakuwa ana-miss kitu ambacho anakipenda)..., Its all about Pursuit of Happiness na Sacrifices unazofanya ili kupata furaha au kuwapa furaha wengine sio wasted.., lakini mistakes ambazo zitakutoa kwenye mstari hizo haziwezi zikakupa furaha..
Pia sometimes inabidi mtu ufanye sacrifices ili ufike hatua fulani, ama sivyo unaweza ukajuta when its too late (kwahiyo its all about balancing) vitu ambavyo they can wait they should wait ambavyo haviwezi visingoje...