Mafaili yetu Megaupload

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006

Videos, documents kila kitu kimeondoka

naomba mtujuze whats the alternative

Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase

siwezi kutumia Rapidshare either
 
kutokana na hali HII
there might be no alternative for a while, mpaka kieleweke kwanza.
 
shutdown haimaanishi mafaili yamepotea. Ni kuomba Mungu waachiwe kifungoni hawa jamaa warudi hewani. May be unaweza kuangalia namna ya kuorganize petition to congress kuelezea namna watumiaji genuine walivyokuwa affected na concern ulizo nazo. Unaweza pata nguvu kama ukiwa na sinatures za kutosha toka kwa watumiaji.
Its hardest but only alternative to hopelessly wait!
 
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006

Videos, documents kila kitu kimeondoka

naomba mtujuze whats the alternative

Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase Anonymous

siwezi kutumia Rapidshare either
Hackers attack after Megaupload arrests - YouTube mkuu tizama hii clip ujue kinacho endelea
jamaa wa Anonymous tayari wameipiga chini website ya FBI hii ni kuusiana na tukio hili
 
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006

Videos, documents kila kitu kimeondoka

naomba mtujuze whats the alternative

Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase

siwezi kutumia Rapidshare either
pole sana mku...vita hii makucha ya serikali hawawezi kushinda hata siku moja.....hata kama kim dotcom na wenznie watakaa jela maika 20 lakini huku nje kuna wakina kim kama laki milioni elfu......nimeona hacker mmoja keshaijeruhi fbi na universal studio
 
I hope anony...doesn't get mad and take down
my favorite porn sites!
 
kuna movie ya die hard IV inaonyesha namna hackers wanavyoingilia mifumo ya computer ya serikali ya marekani ktk hali ya kuigiza lkn sasa inaenda kuwa kweli. Haya ndio madhara ya tekinolojia!
 
The only way to maintain a degree of control is to have multiple backups in multiple locations, then you can think of the Megauploads of this world, primarily as a convenient way of accessing your files from anywehere on the net.

Ukiamini sana katika "cloud computing" utaumia, bado hakuna substitute ya backup zako mwenyewe.Backup, halafu back up ya backup, halafu back up ya backup ya backup itakayokaa sehemu tofauti, then the cloud.

That is, if the data is worth that trouble.
 
shutdown haimaanishi mafaili yamepotea. Ni kuomba Mungu waachiwe
Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma:
Halafu hayo ma server ya Marekani hayo kuna siku Justice Department ita subpoena ma data ya hilo li kampuni na ku compromise my personal info, who needs that?
ndo hayo sasa, li website limefungiliwa mbali, ma data ya watu jiiii!
 
Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma:
and who do you think you are? The best way to silence a computer is switch it off, then it will understand what it is!
 
Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma: ndo hayo sasa, li website limefungiliwa mbali, ma data ya watu jiiii!

Hapana nadhani mafali watu watayapata. Server zimezimwa sababau hilo eneo na hizo server ni crime scene . so zimefungwa kwa uchungzi zaidi. Baada ya muda itarudi labda ikiwa a policy tofauti na watu watapata mafaili yao.

Mwenye nyumba hata aifanya maauji huwezi kutafish nyumba na vifaa vyote ndani ya ile nyumba.
othewise wanweza kushtikiw anawakajkuta wanalipa pesa nyingi maana sio watu wote wana doc illegal
 
Hayo mafaili hayarudi tena, yasahau tu.

kwa hiyo unataka kuseme jamaa hawakua wanafanya hata backup. Nia imani itabukia hata nchi nyingine kwa jina lingine na baadhi ya files za watu watazipata kama zilivyouwepo kwenye megaupload. Jus wait.


Na wanadai wako kazini kurudi back again sasa wanahamia Uholanzi .

http://109.236.83.66/

It was the same with piratebay
 

kwa hiyo unataka kuseme jamaa hawakua wanafanya hata backup. Nia imani itabukia hata nchi nyingine kwa jina lingine na baadhi ya files za watu watazipata kama zilivyouwepo kwenye megaupload. Jus wait.


Na wanadai wako kazini kurudi back again sasa wanahamia Uholanzi .

MEGAUPLOAD IS BACK, NEW MEGAUPLOAD SITE - The leading online storage and file delivery service -

It was the same with piratebay

FBI wamekamata Server(machine) zote hakuna uwezekano wa kuhamisha chochote, wamezima internet service yao, wamefeeze millions of dollars in assets, wamiliki na waendeshaji wako jela wanasubiri kesi, hakuna mtu wa kuihamishia service kokote.
 
Back
Top Bottom