Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Kuna Ufala shule ya msingi, km chache tu toka Wilayani Kahama.
Well sijui kama kuna utaratibu wa kuweka majina ya kizalendo. Maana hata vituo vya daladala ni ajabu mara Mfuga mbwa, Manyau etc. Kama kuna wahusika walifanyie kazi.
 
Hey guysntunaruhusiwa kitafsiri majina kwa namna yeyote,lakini tujue utamaduni wa lugha zetu unaturuhusu,ndiyo maana. Tunakubali majina kwa historia zake,tukitafsiri ndivyo sivyo tutayaona yaajab,matusi,ayafai,na ni majina halali na yanafaa kwa mazingira na historia inayojieleza,kitalli zaidi jamani au vipi?mnaonaje?
 
Kuna msilanyoko tunduru,filamandole ulanga(kisw chake inama nichungulie)matombo moro.chigandugandu ulanga majina ya watu kuna simtu,simtaki mkegan,simke,yametimia,mchawi,dogo uliza,cham'babug,kitobo,vakshua,mbwetete,yafiraminze,
 
Umesahau Fataki kama jina mtu,LAKN,Mbona hata majina yetu humu ndani kama vile siyo!mf.kajwagirizi,bonabana,gamba gumu,tht n.k.AU NDO ULE USEMI NYANI HAONI....
 
Safura jina la MTU hilo, Rushwa jina la kata Na kijji, MTO ngono hayo majin a yapo mkoani kagera
 
Maeneo hayo ni, shule ya msingi senge - mkoani singida, shule ya sekondari senge - mkoani singida, shule ya msingi mwisenge - mkoani mara, shule ya msingi kitobo - mkoani kagera, mchamba wima na kibanda maiti - zanzibar, Senge rema mkoani mwanza, katerero - mkoani kagera,

Majina ya Watu sasa! Uswazi utasikia Chausiku, Makusudi, Mawazo, Matatizo.................... Mbeya sasa Chamuchubwi, Tulinampoki, Tutufye, Mwapanya.......Wangoni sasa, Mapunda, Nyoka, Komba, kakobe, kimbuzi, king'ombe............Wachaga sasa Clinton, Bush Ebu nawe endelea

Uajabu wake ni nini..??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom